Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
Wadau, Natumia window phone Nokia Lumia 720 je kuna Apps yeyote ya JF kwa ajiri ya hizi simu??
nimekuwa nikipata shida sana kuanzisha Thread mpya humu Jf kwa kutumia hizo simu, imebidi niwe natype kwenye uwanja wa meseji and then nacopy na kupaste kwenye kale kaeneo ka kuweka new topic.
nitashukuru kwa msaada wa kiufundi kuhusiana na hili tatizo