AshaDii maswali unayapata wapi mbona ya hapa mengi hujayapeleka kule? Afu uliyouliza sasa hivi hapa siyaoni? Au unapokea mashwali through PM?
Mwezi Juni mwaka huu ulitimiza miaka 4 ndani ya JF. Hujaikimbia JF, umeichangia na ukawa Premium Member. Wewe ni wazi unaweza kuwaeleza mengi wale waliojiunga 2010 hadi sasa, umeyaona mengi mazuri na mabaya ndani ya JF. Unajua pumba na mchele vikoje!Asante Maxence Melo...sikujua kama na mimi ni mkongwe humu JF maana nakuja kwa kubeep zaidi. Hata hivyo JF imekuwa ndo sebuleni kwangu maana karibu kila wakati nikilwa free nijikuta nimetumbukia humu. Na napenda kukiri wazi kwamba JF ina mchango mkubwa sana kwenye mitazamo ya sasa ya maisha yangu. Long live JF!
Mwezi Juni mwaka huu ulitimiza miaka 4 ndani ya JF. Hujaikimbia JF, umeichangia na ukawa Premium Member. Wewe ni wazi unaweza kuwaeleza mengi wale waliojiunga 2010 hadi sasa, umeyaona mengi mazuri na mabaya ndani ya JF. Unajua pumba na mchele vikoje!
Ahsante kwa kuendelea kutuunga mkono, katika shida na raha.
also me asked that you of the questions. not today the interview? because i am very waiting to melo the jf founder
Nadhani he was trying to make a point (refer to the quoted post)Hahaha! Me cracking up, here here
Hahaha! Me cracking up, here here
Hahaha! Me cracking up, here here
Button yangu ya "like" leo haifanyi kazi kabisa.Welcome back Asha Dii tulikumiss sana humu.Pia namshukuru Max kwajinsi anavyoyajibu maswali kwa uhakika.Long live JF!
Mutual feelings...Like sasa inafanya kazi.Definetly good to see you back.Ngoja nirudi sasa nikatoe like zangu...samahani niliposti kule kwenye main thread.Jmushi nimepata salamu zako kama 13 hrs ago from Mwali... Nikafurahi sana. Nafurahi mlini miss sababu hata mimi ni vivo hivo... niliwamiss sana. Usijali wewe reserve hizo posts like utatowa tu! lol Nimefurahi kukuona.
Mutual feelings...Like sasa inafanya kazi.Definetly good to see you back.Ngoja nirudi sasa nikatoe like zangu...samahani niliposti kule kwenye main thread.
Mkuu, nakutafuta.
Mkuu Maxence Melo sijui kama maswali yangu yalipata majibu
Ila kwanza kabisa nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya pamoja na Mods wote wa JF
Kwa kweli wanafanya kazi kwa moyo tena kwa kujitolea bila malipo ya aina yoyote na bila kujali usumbufu wala malipo kwa kazi zao. Asanteni sana
Swali langu kubwa ni changamoto gani mnakumbana nazo katika utendaji wenu wa kila siku na changamoto hizo zinawaathiri vipi katika utendaji wenu wa kazi katika kuiendeleza JF kuwa kitovu cha habari zenye uhakika na zilizohaririwa kwa wakati. Na je lengo lenu la kuianzisha hii forum limetimia na kama halijatimia ni nini mkakati wenu katika kuhakikisha kuwa lengo hilolimefikiwa na ni vikwazo gani ambavyo mnakumbana navyo katika kuwarudisha nyuma msifikie lengo lile mlilokuwa nalo.