hahahahaha ila sio za ukweli ukweli eee???aaah jambazi ka ---- young lazima nikudunde kwanzaa afu we unipige risasi
usiogope japo bruce lii cha mtotohahahahaha ila sio za ukweli ukweli eee???
hawajapiga mwili mzima zote nilizotumiwa zinaonesha mapaja manono tu.
Nalog off
Nimeshatuma cv, ole wenu mnichakachue..
tutakuweka sekta ya ujambaziNimeshatuma cv, ole wenu mnichakachue..
tutakuweka sekta ya ujambazi
ila si jambazi wale wakiingia ndani wanavua viatu ili wasichafue carpetAhhhahahahaha inamfaa maana mkali hatari..
ila si jambazi wale wakiingia ndani wanavua viatu ili wasichafue carpet
Jambazi aliona umbo nzuri mpaka akalegea,mambo gani bhanaHahahahhhah wale wa bongo movie...
Hahahahhhah wale wa bongo movie...
Hapo Mwekundu itabidi awe macho farkhina
Unaweza ukawataja hapa hao my wife zake wengine?Mbona tunaoitwa my wife humu tuko wengi? sielewi elewi nahisi kama naibiwa
Pamoja mkuu anza kufanya hivyo.Aminia mkuu ngoja nianze mazoezi
lazima tuuze,kina Wema watajiju.
Nalog off
mie tena sifai? au unaogopa taa weye
Jambazi aliona umbo nzuri mpaka akalegea,mambo gani bhana
teh teh!!!
hebu tueleze mgawanyiko wa mshiko kwanza maana hilo ndio impotanti kuliko mengine...