najua mtu wa taa na yule wa nyuma ya camera ndio huwa wanafaidi movie
Afate nini? lokeseni wanatakiwa wasanii tu ili wajiachie kwa raha zao,wake na waume wanatakiwa wawasubiri wenzi wao majumbani kwao.Ok...nae pia anaruhusiwa kuwa lokesheni?
Hatoomba rushwa ya ngono kwa kuwa wewe si ndio my wife wake?nashukuru kwa kuipenda avatar yangu mpya.Washawasha mbona mnanichanganya hivi huyu Exllent ninaemfahamu mimi kumbe ana mke?! kama ndo hivyo bora umtoe upande wa majaji hastahili, maana hatakawia kuomba rushwa ya ngo..o, huyu dogo hajatulia aisee.
Afadhali umebadilisha avatar ile ya mwanzo ilikuwa inanitisha
kitengo cha taa nakupa wewe mkuu.najua mtu wa taa na yule wa nyuma ya camera ndio huwa wanafaidi movie
hahahahaha utaizoea tu iangalie kutwa mara tatu kwa muda wa juma zima.Washawasha hiyo avatar ya sa hivi napata shida kuizoea lol
Usihofu ombi lako limekubaliwa.Naomba picha yangu itumike kwenye cover la Filamu ya Biashara haramu ya madawa. Make nina maduka matano ya madawa, mawili yakiwa ni ya jumla yaan WHOLESALE...
usihofu bi dada kila kitu kitakuwa poa,ngoja niongee na majaji.Jamani Washawasha mie naomba nicheze kwenye romantic scene halafu ndio niwe sterling wa filamu tafwadhali bila kusahau picha yangu ndio iwe kwenye film cover aisee
yeye atakuwa msaidizi wa camera man.hilo halipo tumezoea camera man tu.
msihofu nafasi mtazipata tu.jamani mtumishi mwenzangu Heaven on earth embu tuombe japo scene 2 nasi tuuze sura katika hii sinema.
ninyi mtacheza scene hizi Heaven on earth ni mwanamama maskini mwenye ndoto za kuufikia japo nusu ya utajiri wa jimama farkhina ambaye ana mpango wa kuipindua serikali ya Tz na kumweka mwanamama fulani kwenye kiti hicho, ndipo kwenye mihangaiko yako utakapokutana na Kachero Slave kwenye bar moja maarufu na yeye kukwambia anafanya kazi ya U-moderator wa mtandao wa JF na kujenga uhusiano naye wa kimapenzi na siku moja mkiwa chumbani mmejipumzisha unamwambia kuwa una wasiwasi na raia fulani wa kisomali( B'REAL ) aishiye mtaani kwenu anaweza kuwa ni muhusika wa mashambulizi ya Westgate nchini Kenya ili akaanzishe new topic kwenye jukwaa la Intelejensia.Washawasha nadhani atatusikia na kutufikia...........nitafurahi sana uje hasa tukipewa zile scene fulani zile
nafasi yako ipo wala usijali.Mimi niwe kubwa la majambaz basi kama inahitajika hyo nafasi, si unaona navyowaka moto kwenye avatar yangu, hapo nawahi mtoni kujizima then narudi kulipiza....full movie
Kampuni yetu haijachoka kiasi hiki mpaka waigizaji wetu wale wadudu,washiriki watapata msosi safi kabisa kutoka kwa mpishi wetu The secretary.hii movie sijui kamA wataiweza hawa washiriki. embu tazameni video hii ndiyo mjue mnachokwenda kukifanya huko location.
ni kweli kabisa ni tutakuwa wakali kwa watu ambao wanasuasua,baada ya neno aksheni hakuna kusimama mpaka uambiwe na dairekta simama.sawa kabisa ila tukiambiwa na director ''action'' sitaki watuambie tena ''pause''
Nafasi kaipata,mkuu nikutupe kwenye kitengo kipi?. . . . Na mpiga picha mkuu ni Mzee wa Rula, atafaudu sana aisee LOL.
Wewe utacheza kama Memba wa Alshabab aliyefanikiwa kukimbia kwenye shambulizi la Westgate na kuja kujificha Tz ndipo utakapokuwa na shughuli pevu ya kukabiliana na kachero Slave.hakuna sehemu ya kucheza magaidi ka sisi maana naona nima beautful na mahandisumu boys tu