Jf filamu casting.

teh teh!!!

hebu tueleze mgawanyiko wa mshiko kwanza maana hilo ndio impotanti kuliko mengine...
hahahaha wewe unaonekana ni dhulma ndio maana unaogopa kudhulumiwa,ila kwa kila scene utakayocheza utalipwa Tsh 500,000/=
Nalog off
 
Washawasha mie nimeshatuma li CV langu. halafu naomba kuuza sura kwenye cover bana. sura yangu si iyo kwenye avatar
Una kila sababu ya kuweza kuwepo kwenye cover ya filamu hii,ingawa ni marufuku kumwambia mke wa mtu( Kaizer ) mzuri ila wewe ni mzuri sana aisee.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Naomba hizo hot tupangwe wote!
Kwanza pigana ili upate nafasi ya kucheza ndio utakapopangwa naye,ongea naye vizuri maana farkhina ni mmoja wa majaji atakupendelea na mtacheza wote hot scene.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
kama we jaji lazima favourtism ihusike japo kwa mbali
sio kwa mbali ni kwa karibu mnooo,maana mchezo huu hajauanza yeye hata Nabii Musa (AS) alipoulizwa utamchagua nani awe msaidizi wako? hakuumauma maneno alijibu moja kwa moja naomba NDUGU yangu Haruuni (AS) ndio awe msaidizi,kwahiyo lazima upendelewe tu na mumeo Excellent.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Washawasha mie nataka nafasi niigize na mume wa mtu! Nimeshaanza mazoezi! Na picha nnayo lakini ni blakenwaiti!
Kha! mbona nilishakupigia mahesabu toka zamani hiyo ni nafasi yako na najua utaicheza kwa ufanisi mno,hiyo picha we nitumie tu wala usijali.
Nalog off
 
Hahahahaha mie sijui hata ntaweka part ipi na Washawasha au wewe unaona ipi inanifaa.
Part yako utacheza kama jimama lenye mihela miiingi linalozitumia pesa hizo katika jitihada zake za kutaka kumpindua Rais.....na kumuwekea bi dada mmoja ambaye ni machachari sana kwenye ulingo wa siasa.
Nalog off
 
Preta na Team Umbea nafasi hiyo mmeipata bila zengwe,jamani filamu hii itanogajeee?
Nalog off
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…