Jf filamu casting.

Haaaa,
Ngoja niinote hii pointi yako.

CC:- chama.Ona mkeo alivyopigwa na mshtuko kusikia nataka kucheza movie na FaizaFoxy. Mamndenyi, pole sana kwa kuamua kufa na tai shingoni. Kunipenda unanipenda, kunitoa moyoni mwako umeshindwa, chama naye wazipenda hela zake za kiinua mgongo, kuziacha unaona utaingia hasara, utafikiri ulisaidia alipokuwa akizitafuta.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji naona unaongea kama vile hauna ulimi;
tamka maneno yaeleweke, ha ha haaa

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…