JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

Chuki,wivu ,umasikini ,roho chafu,kijicho ndiyo matatizo yetu makubwa.Bila kuondokana nayo maisha yote tutakuwa watu wamwisho katika ulimwengu huu.

Kwa nini tuko hivi? Kama mtu kaacha home mke wake,wewe inakuhusu nini? Kama kaja na mwanamke wa Thailand inakuuma nini?

Familia zao zinaneemeka kwa mafuta yao,sasa wakiwekeza ili wastarehe wewe roho inakuuma kwa nini?Kwa hali hii hatuwezi kuendelea kamwe.

Sina shida na wageni kuja nchini. Lakini ningekuwa kiongozi ningewakamua vizuri kwenye malipo ili mapato yawanufaishe wananchi wangu maskini. Tatizo la viongozi wetu ni kuacha wageni wanatanua kiasi hicho kwa malipo cheeee! Inauma sana.
 
Kazi ya M k w e r e hiyo amepewa madaraka na nguvu asizojua kuzitumia yeye amezoea utumwa alioridhi.

Una hasira na JK kiasi kila kitu unampachika yeye.

Loliondo Gate ni zao la Ali Hassan Mwinyi. Hii ilifanya hata mwandishi Katabaro wa gazeti la motomoto kipindi hicho apotezwe.


Hao waraabu kuwa Loliondo sio tatizo. Tatizo ni kashfa nzima iliyowamilikisha Loliondo
 
woooooooow sheykh zayeed,,,mashallah i'm verry proud of u to be in africa woooow lovely picture ...and his son mashallahaleyyk...mwaaaah nice picts,,,
 
woooooow
i677_fazza3tanzanya3.jpeg


i678_fazza3tanzanya5.jpeg


i679_fazza3tanzanya6.jpeg


i680_fazza3tanzanya16.jpeg
 
masura yao yanatisha kama wanakula..nnya vile, na wanataka kama kujilipua, kweli kizazi cha nyoka kilichokataliwa, cha mama wa kambo/housegirl hakitakuja kubadilika jamani..duh...
 
masura yao yanatisha kama wanakula..nnya vile, na wanataka kama kujilipua, kweli kizazi cha nyoka kilichokataliwa, cha mama wa kambo/housegirl hakitakuja kubadilika jamani..duh...

Tehe, tehe, tehe!
 
Mimi namuunga mkono kwa ndugu aliojibu kama hao waarabu hawakuingia kwa wizi bali kwa kibali maalum toka serekalini.Sioni sababu ya kukereketwa na kuwepo kwao nchini,isitoshe unajua kama fedha ngapi ya geni imeingia nchini?
Huyo ni kiongozi wa nchi kwa taarifa yenuni mtu muhimu sana katika dunia hii, na huwa anajitolea mno kututangaza na kutusaidia. Hapa anakuja kupumzika tu baada ya kutengeneza pesa zake za kutosha ameona hapa kwetu panafaa kuja kupumzika why don't we try and use his trips to show the world how beautiful our country is? Queen Elizabeth akienda kenya it becomes a campaign to woo more tourists to the country sie badala ya kutafuta namna ya kuongeza uelewa wa watalii juu ya nchi yetu akija mtu maarufu na tajiri inageuka kashfa, mpaka lini?
 
waliniolea mke hawa jamaa na kunivunjia ndoa!nawachukia kama shetan pamoja waliowaleta nchin(ccm)!wanamkambi wao karibu na maeneo ya Wasso!haki ya mungu,.....sina uwezo tu,ningewashtaki
 
Huyu bwana huwa akija anakuja bila mke bali huja na malaya wa thailand,mkewe huja peke yake hajapata ongozana na mume wake,kwanza huyo mwarabu hupendelea kula aina fulani ya ndege ambao huwatega kwa kuwafunika na wavu kachimba kama bwawa ambapo ndege hao huja. Na pia huko porini kuna magari ya kifahari ambayo kwa TZ hakuna aliyenalo,mwanzoni mpambe wake alikuwa Doo langu akiwa maliasili yeye ndie alichonga mchongo kwa mzee Ruksa ili mwarabu ajinafasi baadaye Doolangu akapigwa chini sasa kinara wake hapa ambaye kwa habari za uhakika ndie pekee ambaye humpokea na kufanya mambo yote ni mheshimiwa sana msomali mwenye ushawishi mkubwa hapa nchini akitokea Arusha aliwahitishiwa nyau kuwa yeye sio raia wa TZ alipotaka kugombea uongozi mkoani Arusha na juzi tu moja wa kampuni anazomiliki ilishikwa na mzigo usioruhusiwa kusafirishwa nchi za nje bila kibali maalumu na huyu ni mtu mkubwa kwenye Chama chao,kwa hakika viongozi wa nambari wani ndio wanatuingiza mkenge huku familia zao zikinemeka na sijui hawa raia wenzetu wa kufikia wanatuona mabwege kwani tunawapa mianya na wanatu nanii...

kinana...

...cha wajinga huliwa na wajanja
 
unasema wafanyiwe kwani wamefanya kosa gani ?usiwe na chuki zako za kibinafsi hao watu wameruhusiwa na viongozi wa nchi na wapo hapo kihalali sasa tatizo liko wapi ?kama ingekuwa mzungu ukesema hayo kama una tatizo lolote nenda mahakamani kama inavyosema serekali .

Viongozi wa nchi na wapo hapo kihalali sasa tatizo liko wapi ? Tatizo liko kwako niambie tu wewe una faida gani nao. Juzi wamechukua wanyama kinyemela wamepeleka Arabuni. Labda swali la msingi ni kuwa pale ni kwao ndani ya Tanzania kwa sababu wamemirikishwa kwa miaka 999. Viongozi wako wenye akili ya kumirikisha mgeni miaka 999. Mriki ambayo haipo kwenye sheria zetu za nchi. Ngoja hao viongozi wako waondoke madaraka usikie moto utakao wawakia. Bado kidogo tu wataondoka halafu usikie mziki wake.
 
viongozi wetu ndo wamewapatia hilo shamba la bibi, tusiwalaumu waarabu au wengine wanaoitwa wawekezaji kwani tunawaruhusu wenyewe kwa maslahi yetu binafsi. Watanzania tuamke tukatae unyonyaji huuuuuu!!!!!!!
 
Tanzania si waarabu tu wenye vitalu. Vya wazungu ndio vingi zaidi, hatujaona mtu yeyote akisema kuhusu hilo. Au ni kwa dini zao?
 
Back
Top Bottom