William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Lakini tufikiri kwa undani zaidi tusiangalie tulipoangukia, tuliangalie tulipojikwaa Waziri Karamagi ni mtu wa mwisho tu, kuna watu wanaitwa wataalamu walioandaa, walionegotiate and eventually ukaandikwa ukapitishwa kwa mwanasheria mkuu,,, nadhani tungekuwa objective kuhoji hawa waheshimiwa! maana tukilinda hii tabia kesho na wewe utakuwa kiongozi utalengeshewa utasaini na mambo yatakuzukia... Karamagi, can not be a Geologist, Financial Accountant, Attorney etc... in fact mimi natamani mikataba isainiwe na makatibu wakuu, sio mawazirinilikuwa naangalia CNBC last night kipindi cha Jim Crammer...basi anakuambia green(dollar) is getting dumped so the best thing you can do wit ur portfolio ni gold na company to put your money ni XBF yaani Barric Gold maana ni one of the most profitable katika Dow Jones for the last five yrs na reason behind the profit akasema they have a new & huge gold mining somewhere in Africa(mwananangu hapo nikasikia click click click klak klak bongo hiyooooo karamagi katuuza)..kweli tungekuwa makini tungekuwa sawa na South Africa tuu lakini naona tumegeuzwa hapo kama waarabu na record profit in history ya Exxon Mobile kutoka kwa waarabu huku wenyewe wakifa kama kuku,haya mambo wazee sio joke angalieni Sierra Leone mambo ya Diamond,Congo gold,mafuta Nigeria ni kutokana na injustice ya mikataba kama hii ndio maana watu wanaingia msituni,i dont suggest tupigane lakini kutufunga na contract ya 50 yrs huku tukibaki na umaskini uliokithiri na mali ni yetu watu watachoka na kitakachotokea kila mtu anajua
Karamagi, can not be a Geologist, Financial Accountant, Attorney etc... in fact mimi natakami mikataba isainiwe na makatibu wakuu, sio mawaziri
Wasiwasi wangu ni kwamba Serikali yetu kuu, kwa niaba ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeingia mkataba mzuri/mbaya sijui, kwa sababu terms za negotiation sizijui, lakini imeingia mkataba na Mwekezaji tena sio mwekezaji wa mfukoni hapani ni kampuni linalotambulika ulimwenguni...
wakati huo tujue hatumtendei haki mwekezaji ambaye hana hatia yoyote...
Ningekuwa mwekezaji ambaye nataraji kuja hapa,,, ningefikiria mara mbili kama mikataba itakuwa inafanyikwa kama tunavyofanya, naombeni sana tuangalia mambo kwa mbali zaidi, tusiangalie kwa nia ya kuongoza nchi, kesho itakuwa UDP, CHADEMA etc... lakini taifa ni hili hili
Lakini tufikiri kwa undani zaidi tusiangalie tulipoangukia, tuliangalie tulipojikwaa Waziri Karamagi ni mtu wa mwisho tu, kuna watu wanaitwa wataalamu walioandaa, walionegotiate and eventually ukaandikwa ukapitishwa kwa mwanasheria mkuu,,, nadhani tungekuwa objective kuhoji hawa waheshimiwa! maana tukilinda hii tabia kesho na wewe utakuwa kiongozi utalengeshewa utasaini na mambo yatakuzukia... Karamagi, can not be a Geologist, Financial Accountant, Attorney etc... in fact mimi natamani mikataba isainiwe na makatibu wakuu, sio mawaziri
Mkuu heshima mbele kwa kujaribu kuwa-objective, ila ni vizuri tu huyu waziri akajiuzulu now, badala ya kuendelea kuharibu sifa ya chama chetu CCM, maana ni kikubwa kuliko Karamagi!
Gold in NYSE leo imefikia 700$+ (all time high ilikuwa last week)...sometimes nafikiria bora tungekuwa na wazungu kama part ya raia wetu kama South Africa maana wasingekubali this kind of BS
[/size]
Kwani nani amekwambia sisi tunakubali huu ujinga? Huoni mawaziri wanavyopata tabu huko mikoani? Usitake kuleta utumbo mwingine hapa tafadhali.
Gold in NYSE leo imefikia 700$+ (all time high ilikuwa last week)...sometimes nafikiria bora tungekuwa na wazungu kama part ya raia wetu kama South Africa maana wasingekubali this kind of BS
FMES,
I would like that to happen, however if there is no already laid down procedures which don't allow a government official to sign a contract outside the government premises... then we go not have grounds to force him to resign, we will have to pray for him for him to decide on resignation on his own, or HE. President to ask him to do so!
I would like that to happen, however if there is no already laid down procedures which don't allow a government official to sign a contract outside the government premises...
Koba
Nadhani hapo ndio kuna possibility ya US Congress kulifumbia macho suala hili kama Zitto ata bahatika kukutano nao..........seems like hizo hits za gold ndio life line kwa sasa.
Wallahi sijawahi kupata uchungu na Tanzania kama nilionao sasa...........Mazee kama unao mkataba watume hao wakina Cramer kwenye "MAD MONEY" tuone atafanyaje!!!!. Kama ni mtu fair, let say akiongelea hii issue kwenye show nadhani itakuwa poa sana!!!!.......labda watu wanaweza ku-boycott stocks za Barrick kuwa pressurize kinamna, mambo ya guilty conscious ya wazungu...who knows.
Lakini tufikiri kwa undani zaidi tusiangalie tulipoangukia, tuliangalie tulipojikwaa Waziri Karamagi ni mtu wa mwisho tu, kuna watu wanaitwa wataalamu walioandaa, walionegotiate and eventually ukaandikwa ukapitishwa kwa mwanasheria mkuu,,, nadhani tungekuwa objective kuhoji hawa waheshimiwa! maana tukilinda hii tabia kesho na wewe utakuwa kiongozi utalengeshewa utasaini na mambo yatakuzukia... Karamagi, can not be a Geologist, Financial Accountant, Attorney etc... in fact mimi natamani mikataba isainiwe na makatibu wakuu, sio mawaziri
...kijana huna hoja sasa unaleta vioja.
Kwa faida yangu mimi slow learner na kwa faida ya watu kama mimi, unaweza kunielekeza kwenye hiyo sheria walau niisome kidogo ingawa lugha ya sheria wakati mwingine inanipiga chenga? wawezanipatia wewe au mh. mwingine yeyote?Hapana mkuu nafikiri tunayo sheria inayomtaka waziri kuiarifu kamati ya bunge ya uwekezaji, kuwa ataenda chumbani London hotelini kusaini mkataba wa madini, huku akiwa amebeba mihuri ya serikali yetu mifukoni mwake!
Mwinyi, alipojiuzulu akiwa waziri wa mambo ya ndani, hakuombwa na mtu yoyote ilikuwa tu ni ustaarabu on his part, ambao tunauomba kwa waziri Karamagi, lakini anweza kuendelea kuwa waziri ila kwa gharama ya nani na this kind of mikataba?
Hebu Acheni wivu huko!
Hamjasoma Tamko la Serikali kuhusu maendeleo ya Sekta ya Madini? Maswali yenu yote yamejibiwa.
Hii yote sababu ya CCM:
Chama Cha Mafisadi.......CCM
Chama Cha Majambazi......CCM
Chama Cha Malaya.........CCM
Chama Cha Mataahira......CCM
Chama Cha Majambazi......CCM
Chukua Chako Mapema......CCM
Kwa Ari Nguvu na Kasi Mpya.....ANGUKA!
Nimewamiss Asha mie
Kill,
Upo sahihi ni bureaucracy yote imeoza...........bila kuwapigia kelele hawawezi kubadilika!!. lukuki la makaratasi kibao na fine prints ni psychological tactic ya western cooperates kwani wanajua kuna tendency ya uvivu wa kusoma.........i really doubt kama waziri alisoma hii kitu vizuri, au ndio kaingizwa king na wasaidizi wake.
...mkuu hawa mabepari watapiga kelele kama hawana interest hapo lakini kwa hili hata kukusikiliza hawatakusikiliza ...waulize Iraqis na demokrasi ya mafuta under the name of war on terror maana hata Greenspan kasema kwenye kitabu chake Iraq war is nothing but oil