Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,483
- 40,011
Kazi ipo, jamaa wanajua ushindi upo tayari 60-70% hakuna haja ya kampeni basi wasubirie kutangazwa mshindi wa CCM!
Katoto ka nzi kaliko huko Busanda kametupenyezea taarifa ifuatayo:
Utaona wanaainisha matatezo kadha wa kadha lakini kila mmoja anafikia hitimisho kuwa watashinda kwa zaidi ya asilimia 60.. msingi wa hitimisho hilo ni nini?
Mwana kijiji,
Ulipopata hii riport ulikumbuka KUWEKA MUHULI tarehe ya kupokea huu ujumbe?
Hahahahaha i like this
Hivi kwa mfano ikitokea wameshindwa, wataelezaje kushindwa huko wakati tathmini yao haioneshi kuwa ni "too close to call"? Yaani angalau wangesema tutashinda kwa asilimia 51 au 50.2 sasa wakishindwa watasema uchaguzi ulikuwa "karibu sana"..
Utaona wanaainisha matatezo kadha wa kadha lakini kila mmoja anafikia hitimisho kuwa watashinda kwa zaidi ya asilimia 60.. msingi wa hitimisho hilo ni nini?
Wana JF,
Namshukuru Mzee Mkjj na ka inzi kake kwa kutuletea hii habari. Lakini kwa mtizamo wangu wa haraka haraka kutokana na minute za kikao naona kuna mapungufu mengi sana sijui ni ya matatizo ya mwandishi au imefanyika makusudi ili kudanganya umma kwa kuisambaza kupitia kwa Mkjj ili kutudanganya (danganya toto waswahili wanasema). Kuna mambo ya msingi hayapo kwenye minute za hiki kikao,
1. Nani alikuwa mwenyekiti!!!
2. Nani alikuwa katibu wa kikao!!!
3. Nini yalikuwa maazimio ya kikao kwa ujumla? Yaani walipokea taarifa kutoka kwenye kata halafu mkutanio ukaisha?
4. Mbona kikao hakikuzungumzia mikakati ya jumla ya kuongeza % ya ushindi?
Ndo maana mi nikasema aliyeandika hii report hajui alichokuwa anafanya, Wizi mtupu...........