JF EXCLUSIVE: DOWANS vs TANESCO, the saga continues!

Chenge alisema pesa lazima ilipwe, inamaana wakati yupo uingereza alikuwa anaifuatilia hiyo kesi.

Migogoro ya CCM inaimaliza nchi
 
i just dont understand what you guys are talking about
 
Arafat Mkuu, hii nchi imekuwa ikiuzwa zamani. Kila siku (chumvi kidogo) inamegwa na kupigwa bei kwa mikataba mibovu. Hasara kiasi gani TZ imeshapata na itaendelea kupata ikiwa CCM wataendelea kuwepo!!!!!
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (na yeyote katika serkali hii ya rushwa, upendeleo, udugu na urafiki) achukuliwe hatua na nani? Hakuna mwenye ubavu wa kumchukulia hatua mtu yeyote miongoni mwao kwani wote ni kama nyumba ya karata, ikiondoka moja wameondoka wote, ndio maana wanaendelea kulindana.
Suala hili na mengine yaliyopita na yajayo, tusfikirie kuwa CCM itawaonea huruma waTZ; ni juu ya waTZ wenyewe kuamua hatma yao, ama kuendelea kufanywa ndondocha na kuamua kuilinda nchi yao kwa kucha na meno.
 
Magamba yalijivua yalisema yanakwenda kusimamia biashara na kuacha siasa za kinafki! Sasa wako kibiashara zaidi, bado tutaona mengi
 
Mkuu Salute. At least I can now appreciate what JK meant when he said the country has no competent poeple in contract laws.
It seems that you are very conversant with these issues. I, among many here, are ignorant of all the references you have made here, which, they make a lot of sense. What i want to know from you learned brother is that in such a situation, what is the way out for Tanesco and tanzania as a country in this case?
 
Reactions: EMT
idadi ya watz wanaoelewa haya masuala yanayohusu nchi yao ni ndogo mno na inatia mashaka kama mabadiliko yatakuja kwa muda lakini cha kushukuru Mungu kupitia juhudi za wachache, idadi ya wanaoelewa (wanaoamka usingizini) inaongezeka. Tuombee ongezeko liende kwa kasi kubwa!
Chenge alisema pesa lazima ilipwe, inamaana wakati yupo uingereza alikuwa anaifuatilia hiyo kesi.

Migogoro ya CCM inaimaliza nchi
 
Inaonekana waliosign ule mkataba wa richmond/dowans, walikuwa wametoka kwenye semina elekezi ya utii wa sheria bila shurutu. Ni sheria gani inayotiiwa hapa ndipo kitendawili kilipo.maana kuna sheria za maumbile ambapo kimsingi ukiwa mlaku kama kawaida ya watz ten pecent, ama waite watakavyoita takrima, kukirimu wageni nk, pia kuna sheria za kale zilizopitwa na wakati kama mdau mmoja alivyodadavua ya geneva convention 1927 ambapo imesha be updated na Usa convention ya 1958.
Jamii tanzania tunahitaji ujasiri wa mwanamke mjamzito kujifungua hata kama mbele yake kuna mijoka mithili ya EL na RA.
Nchi sasa inaugua na inautungu wa kuzaa, tuache mtoto afie tumboni kwa sababu tu ya uoga wa maamuzi magumu? Mi nasema hapana, historia inatuhukumu kwa waasisi wa taifa hili na itatuhukumu pia kwa vizazi vijavyo.
.
 
RA alipowaambia anaachana na siasa uchwara anakwenda kushughulikia biashara zake hamkumwelewa, ameanza sasa.
 
unafiki huu.
 
Sitaki kuamini kuwa wawakilishi wa TANESCO/ Serikali hawakuusoma mkataba na kuuelewa vyema. Nashawisha kutamka kuwa kila andishi/kifungu/clause cha ule mkataba kilikuwa kina % ya ulaji.
 
IKO kisheria sana tungepata Mtaalam wa Lugha za kisheria atutafunie sisi wabeba zege maana shule zenyewe tumesoma St CCM, Chuo tumefundishwa na waadhiri walofail, wale wazuri wooote wako kwenye Siasa...

hii ni kali sana mkuu! na nami napita tu nitarudi baadae
 
Watu kwa uchokozi...............
RA alipowaambia anaachana na siasa uchwara anakwenda kushughulikia biashara zake hamkumwelewa, ameanza sasa.

kweli kabisa, anapiga kivingine sasa alitumia neno gutter politics
 

Mkuu Mtakatifu tuwe wakweli tu hivi ni nani (Najua ni CCM na Serikali yake lakini nataka kujua individual) aliyetufikisha hapa? Mimi nadhani serikali ya CCM ilifanya makosa mara mbili: Kwanza kutuingiza kwenye mkataba bomu ambao ulituwekea kamba shingoni na pili ku terminate huo mkataba bila kufuata utaratibu (kosa juu ya kosa). Kamba ipo shingoni na tunaning'inia bado tu stuli itenguliwe tukate roho!!
 
Reactions: FJM
Sitaki kuamini kuwa wawakilishi wa TANESCO/ Serikali hawakuusoma mkataba na kuuelewa vyema. Nashawisha kutamka kuwa kila andishi/kifungu/clause cha ule mkataba kilikuwa kina % ya ulaji.

wanasheria wetu wanasaini first draft contract kwa hiyo hakuna negotiation yoyote ni kumwaga wino tu hakuna tabu kabisa
 
watetezi wao wako wapi? akina FF na wenzake? kwa hapa naona wamepotea kabisa maaana imewapiga sana
 
Maskini Nchi yangu magamba mtatumaliza, Sijui nigeuke Al-Qida ili niokombeo nchi yangu. Tutabaki kulalamika lakini kuchukuwa maamuzi magumu kama ya Tunisa au Misri hatuwezi kweli watatnzania?
 
JK anataka kuwaambia Watanzania kwamba kila kilichoandikwa kiwe ni mkataba au vyovyote unavyotaka kuita hakiwezi kubadilishwa katika nchi hii. Wrong wahujumu wa uchumi nambari one ni yeye mwenyewe. Dowans ni mali yake ndio sababu hawezi kuchukua hatua yoyote.

Haiingi akilini wakati nchi zilizoendelea kama UK au USA huwa wanachukua uamuzi mikononi mwao kwa maslahi ya nchi zao i.e. UK SOCA ambao wao ndio majaji na watekelezaji wa sheria kwa wale wanaojifanya wajanja kukwepa kufuata taratibu. Dowans wametuibia mchana kweupe na hizi ngonjera anayeziendeleza ni JK mwenyewe pamoja na makuwadi wake i.e Banyamulenge ambaye yumo humu pamoja na makuwadi wenzake kutoka Ikulu.

Watanzania tunatakiwa kuchukua maamuzi magumu now or else wao wanafikiri hii ni nchi yao peke yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…