JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

The President should resign. There is no way he did not know about this.

Either he knew and didn't bother or he pocketed some as well.

It doesn't make sense that the president is clean.

Watu waache unafki na wahoji "Where was the President?".

Baraza litavunjwa na watakuja mawaziri wengine na kuiba na baraza litavunjwa tena. Time to clean the whole house and that starts with JK.
 
Acheni uzushi jamani ripoti haijanyofolewa hata ukurasa mmoja na kama ingekuwa imenyofolewa basi Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe wangekuwa wa mwanzo kusema kwani walikabidhiwa wakaisoma kurasa kwa kurasa mstari kwa mstari na wakajiridhisha.. Lazima tukubaliane hapa kuwa tusubiri mjadala bungeni na mbivu na mbichi zitajulikana.
Tafadhari tunaomba haraka hiyo report iwekwe hapa tena ikiwa imekamilika. Mitaani tayari report ipo tena ikiwa imenyofolewa kurasa muhimu, sasa JF tunangoja nini?
Weka mzigo hapa critical thinker tuijadili, mbichi na mbivu zifahamike.
 
Najaribu kuunganisha tu hivi vinukta nukta nlivyonavyo Mkuu Consigliere. Kumiliki na kutoonekana ni kumoja? Many thanks
 
Last edited by a moderator:
Hii movie inamvuto, natamani kuona kubwa la maadui akiwa chali, Yule aliyekula 8b....
 
Hili suala sijui litafunikwa kwa sinema gani nyingine baada ya ile katiba ya kina Warioba kufunikwa na hii ya Escrow
 
ni kupotezeana muda. Yaani report imewasilishwa kwa spika, spika amewapa kamati, wajumbe wameipitia na kuandika report watakayoiwakilisha halafu mnasema report itachakachuliwa? Hiyo inawezeje kutokea? Na hizo pg mbili wamenyofoa kutoka wapi na invinsible nani amemwambia?
 
kazi ya jeshi ni nini endapo wizi mkubwa unafanyika na hata wananchi kukosa huduma mihumu....?

kwanini JWTZ Wasitangaze kuchukua nchi au hadi vita itokee?

Juzi juzi mlikuwa mnatuhumu Jeshi na wanajeshi kuhusu Meremeta, leo imekuwaje tena, au ndio kumbukumbu fupi?
 
Sasa kama yana baraka za Rais kinamshinda nini kufanya maamuzi magumu mara moja tukamaliza hii sintofaham? Kwa hiyo unataka tuamini huko USA kaenda ili awaache walio chini yake (watoto) waparurane utadhani hakuna baba mwenye nyumba?

Demokrasia, demokrasia, demokrasia!

Hakuna awamu unayoweza kuongea yako ya moyoni kama hii, yawe ya ukweli yawe ya uongo. Kumbuka hilo.
 



Km ni hivyo nyie nikiboko..!
 

Ila ni mbaya sana kama unasubiri mpaka utekenywe ndiyo utoe maamuzi. Kimsingi Rais amekosa ama kupoteza hadhi ya kuitwa RAIS na anazidi kulidhalilisha taifa letu na taasisi ya 'URAIS' kwa ujumla.

Nyerere alikuwa anatenda kwa kuzingatia KATIBA YA NCHI ila huyu wa sasa ni tofauti kabisa na haijulikani anaongoza nchi kwa msingi upi.
 
Wakati maafisa waandamizi wa idara ya usalama wa taifa wakihangaika kutawanya taarifa ya CAG iliyonyofolewa baadhi ya kurasa, vyanzo vya habari vy ndani ya BoT vimeleta taarifa muhimu inayoonyesha uhusikaji wa mamlaka mbalimbali katika kuagiza malipo ya escrow yafanyike.

Maelezo yanatoa sura ya uhusikaji wa moja kwa moja wa ofisi ya Werema (na Werema mwenyewe) kushawishi BoT kulipa.Maelezo zaidi yanaonyesha hata Kikwete aliagiza BoT ilipe akinukuu ushauri wa Werema.

Hapo chini ni baadhi ya utetezi wa BOT. Utetezi kamili wenye kurasa 12 download attachment hapo chini




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…