JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

Umeona eeh! Wiki hizi chache zinatia moyo sana kuona ile JF ya zamani imerudi tena kwa kishindo kikubwa. Natumai haitapotea tena.

Now this is Jf!The genuine one,ilee ya zamani ninayoijua.
 
invincible Wewe ni mtu muungwana sana...Fanya mambo
 
Last edited by a moderator:
Naona umekasirika, ulioyakuta hukuyategemea? usikasirike, huo ndio ukweli.

Mtaumia roho zenu sana mwaka huu. Hamna jipya zaidi ya kutukana na kusema uongo.
Ndio maana nasema kila siku wewe una ufahamu finyu sana. Ni lini kodi ya serikali kampuni binafsi inanegotiate?
 
Umeona eeh! Wiki hizi chache zinatia moyo sana kuona ile JF ya zamani imerudi tena kwa kishindo kikubwa. Natumai haitapotea tena.

... Kuna Wehu Wachache Kama Faiza Foxy, Msalani Na Wengine.Post Zao Hazina Kichwa Wala Miguu
 
Reactions: BAK
Moto wa nini?

Mkuu, sioni mahala nilipokuhusisha na comment yangu ama kukutaja, vipi kunihoji?
Hapa tunachangia hoja kuhusu kunyofolewa kurasa za ripoti juu ya Escrow, hayo mengine ni nje ya mada.
 
Mkuu, sioni mahala nilipokuhusisha na comment yangu ama kukutaja, vipi kunihoji?
Hapa tunachangia hoja kuhusu kunyofolewa kurasa za ripoti juu ya Escrow, hayo mengine ni nje ya mada.

Okay, mkuu turudi kwenye mada!
 
Ungekuwa wewe hapa usharekebisha maneno kama; ka, sheia, CG nk lakini wenye akili zao wanaelewa content hawashughuliki na typing errors
 
Last edited by a moderator:

Hii ni king'ola cha hatari,ni warning kwa wahuni wote maCCM kuwa watu wapo makini! walianza na story za "tumbili" tukawadhibiti, wakaja na story za zuio la mahakama watu mapema wamewadhibiti, na huu ujanja ujanja wa uchakachuaji unadhibitiwa mapema.Ili mjue kuwa watu wapo makina.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…