JF Entrepreneurs Networking Chit-Chat

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
1,500
My fellow JF members who are also entrepreneurs, I am planning to hold a free networking event in Dar around Mid December. This meeting will be straight networking, sharing business contacts and small bite of business strategy.

I want this event to free, but in a classic area. I am willing to pay from my own pocket for a small venue. I need ushauri from you wajasilimali, what you think? is this a good idea? who should be invited?
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,024
2,000
Good idea. What about those who are not in Tanzania, wouldn't you want to communicate with them too?
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
1,500
Good idea. What about those who are not in Tanzania, wouldn't you want to communicate with them too?

Dingswayo, am not in Tanzania either but I will fly to Tanzania in Dec to put this networking small talk together. We can accomplish several things in this meeting, I know kuna wajasilimali wanataka kutafuta loan kwa ajili ya small business zao, tunaweza kuzungumza kwa juuu juu jinsi ya kuunda business plan. I know kuwa wajasilimali wana products ambazo ziko kwenye pipeline lakini hawajui market strategy we can chit chat on that.

So, hii sio lecture bali ni networking na kujadili mambo machache machache muhimu.
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
1,500
Good idea, la msingi tujue the main agenda ni nini?

Remmy agenda watoaji ni sisi wenyewe ambao tunataka kushiriki, I want wajasalimali wamiliki hii talk. Kama tunazungumzia tax implications kwenye import of raw materials au kama tunazungumzia kusaka mikopo, it's up to members.

Nataka kuona response ya watu, kama iko ya kutosha then tutasaka ukumbi ambao ni reasonable price. I will cover the cost of Ukumbi na vinywaji baridi.
 
WaUru

New Member
Sep 3, 2011
4
0
Count me in... will be in Dar mid to late Dec and would be more interested in agribusiness initiatives with ROI of 30% or more annually. Will consider investing or joint ventures depending on required investment and the profile/experience of individuals looking for investment.

Not to take away from this plan - but we could also organize using LinkedIn i.e. an open platform where you know who is coming and who they are. PM me if you think this makes sence. Either way, I'd love to network with "great thinkers" wa Tz.

Mungu tubariki WaTanzania!!
 
Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,024
2,000
Dingswayo, am not in Tanzania either but I will fly to Tanzania in Dec to put this networking small talk together. We can accomplish several things in this meeting, I know kuna wajasilimali wanataka kutafuta loan kwa ajili ya small business zao, tunaweza kuzungumza kwa juuu juu jinsi ya kuunda business plan. I know kuwa wajasilimali wana products ambazo ziko kwenye pipeline lakini hawajui market strategy we can chit chat on that.

So, hii sio lecture bali ni networking na kujadili mambo machache machache muhimu.

Keep me posted Mkuu, I am interested and have some things to offer.
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
1,500
I like the response so far, nadhani tunaweza kufaidika kwenye hili swala. Najaribu kuwa na maximum of 25-50 people. Maana tukifika mia moja it will be impossible kufanikiwa kitu chochote. I will like diversity of entrepreneurs nadhani tukiwa na wajasilimali kwenye kilimo, technology na kwingine kwinge.

Hii ni pure networking, depend with how tutafanikiwa katika meeting ya kwanza, we can arrange the second one ambayo ikawa na agenda toifauti.
 
LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,403
0
mkuu .... count me in .... sharing is empowering

lets get in touch
 
Malila

JF-Expert Member
Dec 22, 2007
4,671
2,000
I like the response so far, nadhani tunaweza kufaidika kwenye hili swala. Najaribu kuwa na maximum of 25-50 people. Maana tukifika mia moja it will be impossible kufanikiwa kitu chochote. I will like diversity of entrepreneurs nadhani tukiwa na wajasilimali kwenye kilimo, technology na kwingine kwinge.

Hii ni pure networking, depend with how tutafanikiwa katika meeting ya kwanza, we can arrange the second one ambayo ikawa na agenda toifauti.

Ktk suala la idadi umesema vizuri. Idadi ikiwa kubwa inasababisha muda upotee sana ktk majadiriano,kumbuka wengine hawana kipaji cha kufupisha mambo. Tumewahi kufanya hivyo huko nyuma, mwongoza mada asipokuwa makini, mnajikuta mnahama ktk theme iliyowaleta na hata hiyo mpya nayo hammalizi. Nitaikosa fursa hii,ratiba inaonyesha nitakuwa nje ya dar. Mungu si Athuman, naweza ku-lob ili nihudhurie.
 
meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
433
250
Good idea.........na agenda mojawapo nashauri kujadili jinsi ya ku-overcome challenges facing Tanzanian Entrepreneurs , ambazo zimeongelewa tangu tupate uhuru, mfano swala la kupata mikopo! Tunaitaji kupata suruisho!
Another could be; how we can help ourself (and our people) to stop creating market for outside entrepreneurs and instead create ours outside the country! Entreprenurs siyo wachuuzi , Watz wengi ni wachuuzi kwa bidhaa za nje!

This can help us to create a business forum from which we can start doing scientific business with scienfic reasoning and get out of our traditional way of doing business (biashara za ndugu, ukabila, kwenda kwa waganga na kutafuta kuua maalbino nk) We need to create linkage within our self, provide important business information and attract foreign investor for joint venture.
We really need to thinking globally and stop thinking locally!
 
Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,515
2,000
My fellow JF members who are also entrepreneurs, I am planning to hold a free networking event in Dar around Mid December. This meeting will be straight networking, sharing business contacts and small bite of business strategy.

I want this event to free, but in a classic area. I am willing to pay from my own pocket for a small venue. I need ushauri from you wajasilimali, what you think? is this a good idea? who should be invited?

ni wazo zuri saana, go ahead and we are willing to join.
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
1,500
Thanks everyone for response, I like ninacho kiona so far. Nadhani watu wanaoneka wana high energy. Nadhani tunaweza kusaidiana kidogo kidogo kuelimishana.

Mimi personal sijawai kurun business in Tanzania, so i will learn a lot from you guys. Kama kuna mwenye idea ya location nzuri ya kuchukua ukumbi tafadhali naomba ushauri wenu. Tunaitaji Only Display, I will provide my own projectile and other necessary tools za presentation.

Kingine kama mtu anamfahamu mjasilimali/wajasilimali walio jikita kwenye ujenzi tafadhali tuvutie mmoja au wawili. Mimi nipo interesting na kujikita kwenye ujasilimali wa kukodisha vifaa viziti vya ujenzi.

Again, the plan ni kunetwork na kubadilishana contacts. In the next few weeks nitakuwa nasaka ukumbi. Utaratibu ni mmoja kwamba nitatowa form ya iliyo kwenye excel, ambayo ina maswali machache kama Jina Lako, taaluma yako, ujasilimali wako, simu namba na N.K. Information zote zitatuzwa kwa siri kubwa, hakuna kitakachotolewa online.

Kwenye idea ya conference venue ambazo zipo kwenye location nzuri tafadhali tufahamishane.
 
Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
407

I like your idea, but I like your signature the most, God Bless you.
 
changman

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
229
195
Hiyo ni idea nzuri sana ningependa kushiriki ila bado sijajua kama ntakuwa bongo dec or not but if I will be there I will be very happy to attend. So wale ambao wanaweza kuhudhuria jamani hudhurieni hiyo kitu ni muhimu sana kama mnataka kuendeleza na kupanua biashara zenu. Kwa ambao hawataweza kuhudhuria mnapewa taarifa kutoka kwa wale waliohudhuria ni kitu gani kilichoongelewa. Lakini hii iwe kwa watu serous na wako willing siyo watu wengine waanze kubabaisha tu na kuingiza siasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom