JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Ha ha ha..Ni kweli lakn nisije dundwa hapa na wenyewe ..Kila mtu yupo booked tayari...
mimi bado single nakusubiri huku huku arusha
Ha ha ha..Ni kweli lakn nisije dundwa hapa na wenyewe ..Kila mtu yupo booked tayari...
1+ 1=? Hebu kokotoa hapo
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
Tatizo JF kujua Gender ya mtu sometimez ni ngumu unaweza kusema Smile ..usiku unajikuta umelala na Njemba
Jiwe Linaloishi kama nitachomeka mkuki kwenye tent ya mtu.mfano katika tent ya KakaKiiza si itakua pouwa...?hiiii kali..... si mnakutana kabla au
lakini hii safari ya porini ni muhimu kila tent kuwe na mwanaume kwaajili ya ulinzi zaidi
Jiwe Linaloishi kama nitachomeka mkuki kwenye tent ya mtu.mfano katika tent ya KakaKiiza si itakua pouwa...?
.....hahahahahahaha..mkuu siku hizi ndege anasi kirahisi mtegoni?hahahaha inategemea kama zile mila bado zinakubalika, na sisi vijana wa kileo kukubali ngumu ukichukulia mawindo yenyewe yanavyochukua mda kunasa lol
.....hahahahahahaha..mkuu siku hizi ndege anasi kirahisi mtegoni?
Jiwe Linaloishi kama nitachomeka mkuki kwenye tent ya mtu.mfano katika tent ya KakaKiiza si itakua pouwa...?
Tulikuwa Big L Club Arusha na wafuatao: PakaJimmy Passion Lady Filipo Jiwe Linaloishi (tumempa uraia wa Jamhuri ya Arusha) Tonykp na Erickb52
KakaKiiza mi nataka la kwangu mwenyewe, bei inaongezeka?JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
mie tena "bata boy"..naweza kuwepo nikujua gharama mkuu...halafu ule mpango wako kule sinza umefikia wapi..?Kwanza uwepo wako gharama baadae!
Kwanza uwepo wako gharama baadae!