JF Easter Ngorongoro Tour!


Teeeeeeenyaaaaaaaaaaaaaaaaaa..............
 
Dah kaakiiza umenipa wakati mgumu sana wa kuchagua wa kuwa nae kwenye Tent.

Anyway...!
Naomba kutoa order ya Tent la kuaccomodate watu 8 please maana nashindwa kujua niwe na Kipipi Amyner Chocs Remmy Arabela Preta au nanii.

Copy kwa Baba V

Mzee.wanitafta.mke.wangu.anakuhusu.nini...na..vihema.vyako..mke.wangu.atakuwa.na.mimi.mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Wewe nahisi utakuwa una simu mpya tena ni Screen-touch.
Afu huna uzoefu nayo.
Kazoea nokia space ni 0 sasa hii ni ya kichina space ni no1 ukibonyeza 0 ni dot kazi ipo mpaka aizoee kazi imemkuta!
 
Ngorongoro na tents Wapi na Wapi?kila sehemu ya mwili itafreeze!!!!Mimi na Filipo tutakuwa Ngorongoro Serena!!!!!
Nilikuwa najaribu kujiuliza kama KakaKiiza yuko serious au anatania, Ngorongoro ulale kwenye tent....!
Watu wanarudi na Pneumonia aisee.............
 
Last edited by a moderator:

mkinisaidia kupata partner wa jinsia tofauti au akijitolea sina kipingamizi ntamghalamia kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…