Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,204
- 829,171
- Thread starter
- #121
Kampuni ya usafirishaji ya “Raphael Logistics” leo Asubuhi Imeanza Safari ya kubeba boti hii kutoka Mkoani Mtwara kwenda Mkoani Mwanza
Umma umejulishwa kuwa gari yenye Namba za Usajili (T351 EAD/T190 DWT) yenye mzigo aina ya BOAT imeanza Safari kutoka Mtwara kupitia mikoa ya Ruvuma-Njombe-Iringa-Morogoro-Dodoma-Singida-Tabora-Shinyanga mpaka kufika Mwanza.
Gari hiyo Imebeba Mzigo ambao una vipimo vifuatavyo:
Urefu - mita 29
Upana - mita 5.6
Kimo-mita 7.4
Kampuni hiyo Imeomba watumiaji wa Barabara hiyo kuchukua Tahadhari kwani safari hiyo itachukua mwezi mzima Kuanzia Leo (June 5,2025) na Wanatarajia kufika Mwanza mwezi ujao (Julai, 2025)