Paw? hizi habari mnazitoa wapi? kweli hiyo couple inastahili "mmmhhh???"
Hahahha...halafu wewe uache kuwachokonoa wenzako!Afu kuna mtu namsoma tu hapa chini na mpua wake, lakini hachangii lolote sijui hajui tena kusoma na kuandika?
Anashangaa avatar tu.
There are currently 20 users browsing this thread. (13 members and 7 guests)
Tupo busy na kukiandalia maisha mazuri kiumbe chetu! Wife kachip in hapa na kuchomoka! Kwa kweli mambo yametubana sana! Ukizingatia tena na tarehe 1 april aka siku ya wajinga kuna target lazima niifanikishe, otherwise kiumbe chetu kitalala njaa!!!Mtoa mada, umeainisha Canta alimkwapua Rejao,
nimeanza kuamini kwani wote hawajatia maguu kwenye Uzi huu.
Iweje kutwa nzima Canta asiijibu hii tuhuma?
Mkupuliwa na mkupuaji wote dwiii, wamekula kobis .

asante, msalimie mpua wetu.
Huyo maziwa mgando katutokea wapi?Papa Rejao mzima wa afya kajaa tele na salam zako zimefika!
Hahahaaaa we utakuwa mwalimu wa hiyo kindergarten...unafaa sanaI AM HEREBY DECLARING ZIS USEFUL THREAD ZE THREAD OF ZE MONTH March 2012!!!
Makofi kwa kwa kwa kwa kwa.........kwa kapo zote nawatakieni mapenzi mema , zaeni watoto kedekede ili hatimae jf tufungue kindergarten ya kwetu wenyewe!
Halafu dawa ya maziwa mgando ni kiyanywa tu....Huyo maziwa mgando katutokea wapi?
Hahahha...halafu wewe uache kuwachokonoa wenzako!
Tupo busy kuweka historia...
Halafu dawa ya maziwa mgando ni kiyanywa tu....
Hahahaaa angekorogwa tu then akiwa rojo ananyweka faster....umnywe yule ungemweza?
Mpana kama chapati isiyokunjwa yule.
Na bia huwa tunazinywa pia ili tumsahau marehemu kabisaunapamba historiwa siku hizi?
Usinikumbushe siku hizi misibani, historia inapambwa hadi basi.
Soma kati kati ya mistari,utamjua tu swty!!!!Huyo maziwa mgando katutokea wapi?
Shem mzima?Soma kati kati ya mistari,utamjua tu swty!!!!
Soma kati kati ya mistari,utamjua tu swty!!!!
Mie mzima kbs,hofu kwako,Amy hajambo jaman!Shem mzima?
anachojua huyu ni kusoma katikati ya miguu ya wanawake tu.