Kuna mtu yeyote ambaye anakufanya ucheke mara kwa mara
unapoona michango yake hapa JF. Nani unapenda aingie kwenye
kinyang'anyiro hiki.
Binafsi namtanguliza BUJIBUJI.
ZAWADI NONO ITATOLEWA KWA MSHINDI.
kuna mtu yeyote ambaye anakufanya ucheke mara kwa mara
unapoona michango yake hapa jf. Nani unapenda aingie kwenye
kinyang'anyiro hiki.
Binafsi namtanguliza bujibuji.
Zawadi nono itatolewa kwa mshindi.