JF chit-chat white-brigade!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Baada ya taarifa za kutekwa kwa mke wa UNDENIABLE, Heaven on earth
ni dhahiri kuwa hali ya usalama wa wanachit chat hairidhishi na nadhani ni muda muafaka wa kuanzisha kikosi chetu cha kujilinda sisi na mali zetu zote ikiwemo server ya Jf

niko hapa kuandikisha majina ya walioko tayari
kama uko tayari nyoosha kidole nikuone na pia unaruhusiwa kusuggest mtu yeyote unayeona anafaa!
 
Last edited by a moderator:
hahaa alikuwa na mgonjwa wake pale Chimbuvu

Ndio ulinzi umeanza? Mi napata cheo gani napenda niwe kombania moja na Kaunga

Yaan anafatiliaje?? Afu kila akiniona hanistui ila anakuja huku JF ndo ananambia.....

Ananiuziiiiiii!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahaa alikuwa na mgonjwa wake pale Chimbuvu

Ndio ulinzi umeanza? Mi napata cheo gani napenda niwe kombania moja na Kaunga

Halafu mimi niwe brigade commander wako eeh; utasotaje kwa extra curriculum activities. Yaani kila kitu nikikuambia ufanye jibu lako ni Yes mum.
 
Mlezi awe ni Mwita Maranya. Ni mzoefu sana.

Mawasiliano na uchukuzi tumuachie Mamndenyi na Arushaone (Ila kuwa makini msije mkafanya mambo mengine, ref. two opposite side atttact).

Fedha na Mipango i.e Kusaka wathamini tumuachie Mzee mwenzangu Bishanga. Ni mzoefu wa kuomba omba a.k.a kupiga virungu.

Kitengo cha maswala ya Kijamii, hapa atakaa Watu 8, Lady doctor, lady furaha na Husninyo. Nimpendekeza hivyo kwasababu binafsi. Nitazieleza nikipenda, kwasasa nisiulizwe

Ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…