Yes shem wangu....Sie tuko poa kbs shem,
Nashukuru kwa kukuona hmu,pole na majukumu Amy kanambia uko safari!!
haya wale ambao Chit chat iking'olewa wataondoka JF wanyooshe mikono juu...... wa kwanza nani?
BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!Smiling Saint
Shemmmmm....BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!
Poa shem, naiman hujambo!Shemmmmm....
Mambo!
Chit-Chat safi sana
Lol
Hana jipya Big X....Poa shem, naiman hujambo!
Wachana kabisa na habari ya chit chat, raha tupu!
Namshangaa huyu anaeichukia chit-chat!
BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!
Sio hana jipya yaani 'HANAGA JIPYA'... Pole kwa kuambukizwa, nawe pia nakuweka kwenye maombi!Hana jipya Big X....
Mi wifi yako kaniambukiza kale kaugonjwa kake ka jana yan sina raha kabisa hapa....
Muulize Erick atakwambia ni ya nini..hii orodha ya nini?
au wale ambao hawajadeki maeneo yao??LOL
hata mimi nitaondoka
Shem nakuaminia, sijui nimekusahau vipi asee!
BW, kabakabana, Erickb52, Amyner, Sweetlady, Mtei one, Cantalisia, kongosho, Husninyo, Tanmo, smiling saint, Bagah, klorokwini, uporoto, duuuh wengine jijazieni hapo!
Hivi kumbe bado watoto wako likizo. .
Uing'oe imeoteshwa?
My wi braza hajambo
My wi braza hajambo
Smiling Saint
ucjari shem wangu...
Wifi kipenzi waendeleaje?pole,cudnt cum!naumwa pia