jf chit chat taaaaamu!

hiyo ya blue hapo...nimeipenda! Halafu ukichunguza sana hujamzoea kivile kiasi cha kuaminia kwenye suala la pesa.
Huyo nadhani alikuwa anakujaribu tu..hahahha...hakuwa serious sana..
yaani hata kutongoza hajui
 
Mmmh...sijakuelewa,unataka kuniambia kama unavaa size 7 lakini kwakuwa umependa rangi ya kahawia ya kile kiatu utakinunua hata kama ni size 5???...Seriously?!....Kiatu ni mwanaume then mvaa kiatu ni mwanamke and vice versa..ni mfano tu.
 
priority shud b size colours r suplements
 
acha tu shosti? Mimi sasa hv hata maji ya kunywa sinunui loh mjini hapa
mapenzi bila hisani hayanogi. Sema siku hizi tafsiri kuhusu mapenzi ina utata. Ukisema "nakupenda" unamaanisha "natamani tungonoke" na sijui wanawake wa siku hizi wakoje, MIOYO yao baridiiii! Yaani ule utamu wao umeharibiwa kwa kuanza mapema au wameumizwa sana kihisia hadi hawawezi kujitoa kabisa kwa wenzi wao!!??
 
Smile dada yangu mbona hapo kwenye nyekundu umenichanganya mie msomaji? Kwani Da Mpoleee amesema anawachukia wanaume?

Afu hapo pengine hapo .........dah, naona nazeeka vibaya dadangu maana najionea dabalidabali tu
 
priority shud b size colours r suplements

Thank yuuuu...Now thats wat me & Smile been saying...kuwa,if u dont get a shoe that doesnt fit u simply go to another store...Otherwise,utajitia hasara ya moyo tu..
 
smile dada yangu mbona hapo kwenye nyekundu umenichanganya mie msomaji? Kwani da mpoleee amesema anawachukia wanaume?

Afu hapo pengine hapo .........dah, naona nazeeka vibaya dadangu maana najionea dabalidabali tu
kuhusu mpolee we msome then utajua historia yake na wanaume.anadai kaumizwa sana so anatafuta yeyote wa kumpa tundi ndo maana nikamwambia achunge tundi lake
 
yaani hata kutongoza hajui

Hakuwa na technique maskini...watu kama hawa huwa hawa-socialize watu wengine so hawajui hata jinsi ya kumu-approach msichana...Pole yakeee!
 
kuhusu mpolee we msome then utajua historia yake na wanaume.anadai kaumizwa sana so anatafuta yeyote wa kumpa tundi ndo maana nikamwambia achunge tundi lake

inabidi ampate aliyeumizwa ili wajiliwaze
 
hakuwa na technique maskini...watu kama hawa huwa hawa-socialize watu wengine so hawajui hata jinsi ya kumu-approach msichana...pole yakeee!
kweli shosti wanadai laki si pesa lakini alikuwa kimeo mwili mzima yule
 
unauliza rangi ya mkaa!

Labda kama uliwahi kusutwa humu ndani....lakini humu hakuna umbea,vyote vinavyozungumza havijamtaja yoyote. Sasa sijaelewa huo umbea umetokea wapi...
 
labda kama uliwahi kusutwa humu ndani....lakini humu hakuna umbea,vyote vinavyozungumza havijamtaja yoyote. Sasa sijaelewa huo umbea umetokea wapi...
achana nae moyo ni wale wale hao laki si pesa loh?
 
achana nae moyo ni wale wale hao laki si pesa loh?

Mwenzangu...Nimeshindwa kumuelewa huyu,ndo maana nkataka anifafanulie... Na kweli laki si pesa....:lol::lol:
 
Mpoleeee Dear... Jina lako ulilichagua kwa vigezo gani (if you don't mind saying)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…