Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

zimenifikia mpenzi
 

Na mm mefurahi maana nlikaribishwa vzr na mchumba juu, ambae tunakaribia kuoana!
 
asante sana kaka binamu, nami nakutakia heri ya Xmas na Mwaka mpya uwe na afya nzuri na uepushwe na baya lolote lile na mipango yako iwe kama ulivyo tarajia katika kipindi hiki na kipindi kijacho cha mwaka 2014.


Asante sana Lady doctor ubarikiwe sana na ukawe na msimu mwema na mwanzo wa mwaka wenye mafanikio
 
Last edited by a moderator:

ahsante mno mr rocky! vipi arusha bado mna ukarimu wa kupokea wageni? nataka nije. lol
 

Amiin amiin...
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nawatakia kila la kheri walinzi wenzangu@rugwebe78 Ngongoseke farkhina Jerrymsigwa,@'valentine' binamutz na wote niliowasahau,pia wana cc wote...katika msimu huu wa sikukuu...
...Mungu awazidishie busara na hekima kwa mwaka ujao 2014::

Asante b dada,nakutakia heri na fanaka umalize salama na uanze mwaka mwingine kwa nguvu na shauku kubwa moyoni mwako kutimiza mafanikio kwamda muafaka. Barikiwa
 
Last edited by a moderator:

Nami nasema AMEEN,baraka hizo zirudi na kwako pia muke mwenza.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…