Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Asante sana kwa salamu za sikukuu, Mungu atujalie afya njema ili tuvuke salama kwenda mwakani.
Ujumbe: tuepuke ngono zembe.
 
Thanks a lot my dear daughter.... Mungu awe pamoja nawe pia, Mimi na baba yenu watu8 we are taking a vacation na tutasafiri hivyo mkae kwa upendo nyote na sikukuu iwe njema kwenu bila kuwasahau wakwe zetu, tukitumaini watawatunza vyema
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mama, nakupenda sana wewe na daddy watu8 Mungu azidi kuwalinda niendelee kuwaona humu mkiwa wenye furaha tele sikuzote
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Thanks a lot my dear daughter.... Mungu awe pamoja nawe pia, Mimi na baba yenu watu8 we are taking a vacation na tutasafiri hivyo mkae kwa upendo nyote na sikukuu iwe njema kwenu bila kuwasahau wakwe zetu, tukitumaini watawatunza vyema

Maldives and Puerto Rico here we come...!!!

Mpenzi siwezi kusubiri hii vaccation yetu ya this time around...

Love u darling!!!
 
Last edited by a moderator:

i dedicate

Last edited by a moderator:

Ahsante sana shemeji langu wa ukweli Lady doctor.. Na mie ninakutakia kila la kheri kwa sikukuu hii ya noeli na mwaka mpya.. Ninafurahi sana kwamba wewe na Arushaone mmekuwa ni sehemu ya maisha yangu hapa JF.. Mbarikiwe..
 
Last edited by a moderator:

Asante Lady doctor, nawe uwe na sikukuu njema.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…