Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Hata mimi nimekumisi sana sweet shem. kiwatengu hajambo?

Mtanikuta hapa Njia Panda ya Himo nawasubiri....!

Kaka sisi tushaingia huku migombani ati, hhebu wakati mnapita hapa cha samanga mnishtue mpate hata kitochi.....
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako mkubwa!
Nakusalimu sana na nakutakia maandalizi mema ya christmas na mwaka mpya 2014
kiwatengu ahsante sana,
Nakutakia kila la kheri katika msimu huu wa sikuu!
Mungu awe pamoja nasi.
 
Last edited by a moderator:
Zimeshafika mkuu, halafu tulikuwa nae jana!

Halafu utakuwa uli enjoy sana..
Poa lakini! nitonye kaenda kwao.

Just rusha mikono juu, tupa shida kule na ubanjuke tu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…