Jf Chit chat! Special Thread: Chrismass & New Year 2014 Wishers!!

Salaam zangu za upendo kwa mke wangu mpenzi Lady doctor akiwa safarini Botswana.

Ujumbe: Nampenda sana!
 
Last edited by a moderator:
Mhh.. mwisho wa mwaka huu Arushaone.. hizi safari safari hizi.. mie Paloma kaniaga kaenda ati Namibia.. Mabasi ya zamani yaliandikwa abiria chumga mzigo wako lol..

kesho naenda visiwani Madagascar, kama mnahofu itabidi muwe ma bodyguard wetu shem
 
Last edited by a moderator:
supriseeee!!!!!! \*""*Ua*""**/
\*Maalum*/
****la***/ \**chrisimas/
\*2013*/
\*****/
\*"'*/
\**/
\*/
Nimeona nianze mapema kukukabidhi zawadi za chrismas ucje ukasema ooh hata zawadi hakunipa nakukabidhi ua ili,linukishe maisha yako,tafadhali usimpe mtu,kwani ni wewe pekee uliebarikiwa kulipata.Zawadi hii ukiulizwa umepewa na nani,jibu nimepewa na anaenipenda, anaenijali na kunikumbuka.
 

mkubwa naona location yako inasoma kuwa upo mtwara...
nipe ramani
 

Gesi kwanza vyama baadae
 

Ahsante sana charminglady kwa salamu. Ubarikiwe sana
 
Last edited by a moderator:

Shukrani Lady doctor. Tuonane upande wa pili kule
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…