Jf chit chat on skype

Jf chit chat on skype

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,111
Tulianza vizuri baada ya msiba wa dada yetu ila siku hizi mko kimyaaaaaa!! japo uzuri wa kule baadhi yetu tunatumia real names! mpo wapi wadau wa JF chitchat skype?
 
Tulianza vizuri baada ya msiba wa dada yetu ila siku hizi mko kimyaaaaaa!! japo uzuri wa kule baadhi yetu tunatumia real names! mpo wapi wadau wa JF chitchat skype?

SS
nadhani sihusiki eti eeh?
 
Mh! sijui maana kule tulikuwa hatuulizani ID zetu za JF....
 
Watakua wametingwa na majukumu ya kimaisha, nawaza hivyo tu.
 
Kula si tutaonana uso kwa uso sasa

ukiamua muonane option hiyo ipo na ukiamua msionane option hiyo ipo, ukiamua kutumia id yako kama ya JF sawa ama ID yako real sawa....
 
Back
Top Bottom