min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,522
- 128,086
Ni kilevi gani hicho?Ninaoš
Ni kilevi gani hicho?Ninaoš
MisosiNi kilevi gani hicho?
Misosi ya aina gan? Glutton šMisosi
Matunda parachichi nanasi tikitiMisosi ya aina gan? Glutton š
Apo naona kitimoto tu mbona haujataja vinginešMatunda parachichi nanasi tikiti
Samaki kitimoto kuku
Ndizi makande mtindi korosho
Bila kusahau urojoš
Kama?Apo naona kitimoto tu mbona haujataja vingineš
Umetaja vinono tu weweššš mimi napenda tambi na wali maraharage na mseto .Kama?
Hivyo vyakula situmii mimi ugali tuUmetaja vinono tu weweššš mimi napenda tambi na wali maraharage na mseto .
Vyakula vitamu mno wali maharage na ndizi mbivu au wali mseto mboga za majani.Hivyo vyakula situmii mimi ugali tu
mara ya mwisho kula wali ni siku ya iddi nililetewa pilau na jirani
Hapa tupo wotešNdizi zenye nyama nyingi na parachichi pembeniš
Ila sio za kihaya zile za kichagašHapa tupo woteš
EphHapa tupo woteš
Za kihaya hata mimi sizipendi hazinogiIla sio za kihaya zile za kichagaš
Ila upunguze kula , kula tu pale unapohisi njaa na sio mpka tumbo zipande mbeleššZa kihaya hata mimi sizipendi hazinogi
Are you as epiphany as the manifestation?Abee
Umechelewa kunishauri tumbo lipo mbele nusu kilometreIla upunguze kula , kula tu pale unapohisi njaa na sio mpka tumbo zipande mbelešš
Subiri nile nishibe ndio nije tuongee lugha ya malkiaAre you as epiphany as the manifestation?
Uwezekano wa kupungua upo lakiniUmechelewa kunishauri tumbo lipo mbele nusu kilometre