Pesa atapewa tuu aache mapepe tuuMpe hela sasa aongeze comments ziwe nyingi
Ah Mm simkumbuki ila Comments ilipapasa kamoyo kanguComment ilikuwa inahusu nini? Na ilikugusa kitu gani kilichokuvutia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimuonaa wapiiiii? Em sema kweliiiiWa kuhusu boss la dp world, halafu jana nilimuona sehemu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahYani anaforce wakati pesa hana [emoji23][emoji23][emoji23]
Mapepe inamalizwa na pesaPesa atapewa tuu aache mapepe tuu
Wanasema ukweli Chana wallet, sio babe, babe. Umeambiwa mi babe show?? Hebu mwaga pesa Mbaga πUnawashirikisha vigagula akina Evelyn Salt unategemea nn π
Ado ado na pesa zinaflow πSawa ila twende ado ado sasa
Hadi hapo ww muongo, sasa hayo tuachane nayo mapenzi ya Julieh & Romeo. Turudi huku kwenye nature yetu wamatumbi, βBabe gesi imeishaβ πAh Mm simkumbuki ila Comments ilipapasa kamoyo kangu
Ona huyu kigagula nae πUduguu nimechekaa had baas.
Nilimuona kwenye ule uzi wa mkesha πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulimuonaa wapiiiii? Em sema kweliiii
Nyokoooooooooo πEwaaaaahh ππππ
Nishaachika uduguu, ss hivi siingizi wanaume wenye njaa tena kwenye moyo wangu. ππππ€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Shikilia hapo hapo sisy EveMapepe inamalizwa na pesa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mparee gani wee, mbona wangu hayuko km wee?Ona huyu kigagula nae [emoji23]
πππ mwaga pesa moyo ulainikeItaingia tuu, n suala la muda tuu π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaa sanaa ujue.Nishaachika uduguu, ss hivi siingizi wanaume wenye njaa tena kwenye moyo wangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]