JF Chat: All members chat

JF Chat: All members chat

Dah! Tusiwalaumu Adam na Eva tu kwa kula tunda mi naamini wewe ungekuwa kwenye ile bustani na hizo pisi zako mngekula Hadi mizizi..๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ nikiwa hedge fund.. nakuwa napiga fivesome ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Raha ya hili komwe litanifunika Moderator sio rahisi kuniona
Ukitukana tu namtag ndo utajua hujui na ban ya wiki mbili sijui utaiweza..๐Ÿ˜‚
 
Tukana jf si yakwako naleo lazima nikukasirishe..๐Ÿ˜‚
Sasa wewe unakomwe halafu Shem wetu ndo huyo shemu tumbotumbo mtakachokizaa sijui tu..๐Ÿ˜ƒ
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†usitake kunambia shem wako unamjua
Jaman jaman mbona gafla hivo ngoja shem aje
 
Ukitukana tu namtag ndo utajua hujui na ban ya wiki mbili sijui utaiweza..๐Ÿ˜‚
Sidhan wallah hizo week mbili nahis maisha yangu yatakua magumu kama vile niko Ukraine
 
Utakata Moto wewe tuliza figo hizo..๐Ÿ˜‚
Naendelea kuokoteza za ijumaaa ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Screenshot_20220225_194039_net.metaquotes.metatrader4_edit_37832017717142.jpg
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†usitake kunambia shem wako unamjua
Jaman jaman mbona gafla hivo ngoja shem aje
Kaa kwa kutulia Siri zako ndani nje nje ndani..๐Ÿ˜‚
 
Zibebe tu kiwanda kinakungoja.. huyo broker spread zake ni ndogo..?
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ spread ni tembo tu, ila tunavumiliana.. unafanya chagua pair zenye spread ndogo mfano hii Audchf ina 18 tu ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kheeee watu wana siri za nchi hawajitambi unakuja kujitamba wew unaenijua mm๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Nimekufariji tu nawe uone unamambo makubwa ila hamna kitu komwe tupu..๐Ÿ˜‚
 
Sipendi kubishana na watu ambao mpaka saiv hawajapata mlo wa usiku
Ngoja tu nikubali๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Heri Mimi sijala wewe na likitovu lako likubwa unalakusema..?
 
Back
Top Bottom