JF Chat: All members chat

USDJPY huwa si trade kabisaa.. ina mwendo wa kisengeee sana.. inatembea mda wake inaotaka.. na ikikukuta umekaa vibaya kilio
Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..🀣
 
🀣🀣 Na ninavyojua kulia mpaka kidaka tonge kinaonekana mbona utaonea huruma..!
🀣🀣🀣🀣🀣Unaujua wa mbuzi wewe...Sasa jichanganye hutaamini Kama Mimi ni yule Dada ako ninaekuteteaga ukidokoa nyama
 
🀣🀣🀣🀣🀣Unaujua wa mbuzi wewe...Sasa jichanganye hutaamini Kama Mimi ni yule Dada ako ninaekuteteaga ukidokoa nyama
🀣🀣
Kwahiyo utakuwa dada gaidi..?
 
Hii inafaa kuvizia Kuna angle ikifika uhakika kabisa na ikiamua kukuletea mkate mbona utainjoi swala ni usilewe maana mi nililewa ikanikata mtama..🀣
ina uhanithi mwingi... in Maalim voice πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…