GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,663
- 17,978
Mnunulie basi, tusaidianeHana simuš
Mnunulie basi, tusaidianeHana simuš
Unankopesha kwaniš„ŗUkinipa namba ya wakala unadhani nitarudishaje pesa yangu
Ninunuliee sim genuine man aninunulie PC šHana simuš
Hapana, am giving you a favour, you must return it in one way or another.Unankopesha kwaniš„ŗ
Safi sanaLeo niko home ncheki movie huku nasafisha koo na hii kitu...leo sinywi ngumu kumeza ššš
View attachment 3079240
Had akubaliMpka lini sasa?
Leo niko home ncheki movie huku nasafisha koo na hii kitu...leo sinywi ngumu kumeza ššš
View attachment 3079240
ni mwaka sasa toka nimekutana nae, na kila siku ni bora ya jana.Had akubali
Mambo mambo tuHuna baya mwanangu sana sema week mzima umenisusa
Ushawahi ona naachagaš”Futa hii mwanangu
Pambana kijanašni mwaka sasa toka nimekutana nae, na kila siku ni bora ya jana.
Haya bhna.Pambana kijanaš
Hope urassa Fake P & ephen_ asanteni kwa upendo ndugu zangu....Mi binafsi moyo wangu umekufa....Nina asili ya hasira na katu hazitoisha I swear....mtu hujawahi mkosea,anakusema vibaya huko unapotezea...unavumilia....jamani huyu Kaka simfahamu hata sura jaman....hata tumbo hilo wanamwongelea ukubwa wake silijui....nimeanza masomo nikaongea Kama masihara usiku wa manane kuwa nahitaji msaada wa PC ....ulikuwa Kama utani watu wanajibu tunacheka....Bantu lady alianzisha uzi nikaomba Tena nichangiwe ....wakiona ni kitu nipo serious walinifata PM ....Hadi naandika muda huu nimefanikiwa kupitia michango hiyo Nani nilivyokuwa nayo nikajazia.Sasa nashangaa haya mazoea ya kutaka kunichafua sijui yametoka wapi.Ila niwe mkweli Sina asili ya kusamehe mtu aliyechagua kuniumiza makusudi....RAFIKI AKIGEUKA KUWA ADUI MEANS HAJAWAHI KUWA RAFIKI TANGU MWANZO.Aendelee kuumiza mioyo ya watu hakika atavuna
Dah..mejikuta nadondosha choziš„ŗHope urassa Fake P & ephen_ asanteni kwa upendo ndugu zangu....Mi binafsi moyo wangu umekufa....Nina asili ya hasira na katu hazitoisha I swear....mtu hujawahi mkosea,anakusema vibaya huko unapotezea...unavumilia....jamani huyu Kaka simfahamu hata sura jaman....hata tumbo hilo wanamwongelea ukubwa wake silijui....nimeanza masomo nikaongea Kama masihara usiku wa manane kuwa nahitaji msaada wa PC ....ulikuwa Kama utani watu wanajibu tunacheka....Bantu lady alianzisha uzi nikaomba Tena nichangiwe ....wakiona ni kitu nipo serious walinifata PM ....Hadi naandika muda huu nimefanikiwa kupitia michango hiyo Nani nilivyokuwa nayo nikajazia.Sasa nashangaa haya mazoea ya kutaka kunichafua sijui yametoka wapi.Ila niwe mkweli Sina asili ya kusamehe mtu aliyechagua kuniumiza makusudi....RAFIKI AKIGEUKA KUWA ADUI MEANS HAJAWAHI KUWA RAFIKI TANGU MWANZO.Aendelee kuumiza mioyo ya watu hakika atavuna