ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Weww ndiye umenifata! Halafu unanitusi kumbe sio mstaarabu hiviHuyu manzi ananiletea uwaki dingilai
Hutoniona tena
Weww ndiye umenifata! Halafu unanitusi kumbe sio mstaarabu hiviHuyu manzi ananiletea uwaki dingilai
Sina noma na to yeye mimiIla enzokwahiyo umetulainisha wote hapa na kesi imeisha
![]()
Jaji amua kesi hiiAikooo Mmekimbia sana. Yeee! Ngoja
Kula mbege nyingi mkuu , piga kifua sema sisi ni ma mangi hatuyumbi umesahau mnama?Huyu manzi ananiletea uwaki dingilai
Ila enzo🙌 kwahiyo umetulainisha wote hapa na kesi imeisha😂
😥😥 Aikooo Mmekimbia sana. Yeee! Ngoja
Afu unaniambiaga Mimi sio mstaarabu umemuona huyoWeww ndiye umenifata! Halafu unanitusi kumbe sio mstaarabu hivi
Hutoniona tena


habari yako mrembo😥😥 Aikooo Mmekimbia sana. Yeee! Ngoja
Muhimu yameisha vurugu sio nzuriHana jeuri hiyo kwangu ashukuru kajiwahisha kwa modes nimepewa onyo, alikuwa anaenda kuumbuka na mngejua true Colors zake zote.!!
Huyu ni wewe upo kwenye ndinga lako?SalAmalekoView attachment 3079146
No wakili Mimi sihusiki sijaripoti MimiWewe umeenda kujiliza kwa modes pambana mwenyewe na wakutoe damu kabisaa.!!
Mi nakutetea naonekana mkorofi, ila leo Bahati yako namuheshimu Payge lasivyo ungelala umechoka.!!![]()






Hii kesi nashinda hiiIla enzokwahiyo umetulainisha wote hapa na kesi imeisha
![]()
Game of relay racePicha zangu ulizotumia watu ulizitoa wapi?
Hunijui sikujui, hujawahi kuniona sijawahi kukuona.
Juzi tu hapa ulimuuliza min ake selfika kama mimi ni mmama au binti kweli!
Au mimi ni mwembamba au mnene, ukataka kujua kama kweli naishi Lindi au Dar! Dhahiri hunijui
Ukamchimba mkaka wa watu kunihusu kama vile ananijua
Umezingua unajua! Au kuhusu picha zangu unasingiziwa?
BONGE NYANYA amefanya nini?Ila enzo🙌 kwahiyo umetulainisha wote hapa na kesi imeisha😂
Hujashinda cz toyeye umemkosea halafu unajikaushaHii kesi nashinda hii
MuulizeBONGE NYANYA amefanya nini?
Plizi usiondoke wakiliWewe bila modes hutoboi umeamini??
Sisi makamanda wa vita, tuna mbinu km zote.!!
See you next time….