Unajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara 😂😁Jukwaani kila siku nachangia mkuu, yaani mdau😁
Ndio wanapiga hapo biriani ijumaa LeoKwani msosi washapewa?🤔
We nae!! Melo wa nini tena usituchome mimi pm nimefunga hapa ndo kijiwe changu na min akeee😂Unajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara 😂😁
😁😁😁 sawa mkuu nimekubali.Unajaza seva tu kuchangia aaanh tumchangie bosi Maxence Melo jf idumu milele jukwaaa pendwa hili hakuna forums nzuri kama hii kusini mwa jangwa la Sahara 😂😁
Dah! Umezidi upole🙄😁😁😁 sawa mkuu nimekubali.
😂😁😁😁 Kwamba nikimtaja bosi nawachoma 🤣😂😁😁We nae!! Melo wa nini tena usituchome mimi pm nimefunga hapa ndo kijiwe changu na min akeee😂
Ndio! Umewaambia wafanyakazi wake hawajala🤔😂😁😁😁 Kwamba nikimtaja bosi nawachoma 🤣😂😁😁
Leo ijumaa kuchelewa kula kawaida Leo biriani day 😎😎Ndio! Umewaambia wafanyakazi wake hawajala🤔
Wanetu hao wanamalizia biriani9 People are here
Nani kakwambia?😂 wakija hapa usikimbieWameniambia wamefurahi sana 😁😂😂😁😁😁😁😂🤣😁😁
Hawana shida hao sio wakorofi sio wabishi sana hawana baya wapo very humbleNani kakwambia?😂 wakija hapa usikimbie
Haina shida maana picha yangu wanayo mbona Hawa wanetu wapo very goodUpo tayari kupigwa picha?😂
Mimi siendi😂 naogopa pichaHawana shida hao sio wakorofi sio wabishi sana hawana baya wapo very humble
🤣😂😁😁 Acha uwogaMimi siendi😂 naogopa picha
Nahitaji ulinzi!🤣😂😁😁 Acha uwoga