ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,260
Facebook mnatumia jina ganiAu mmeenda kuchukua picha zangu Facebook walahi 😂😁
Facebook mnatumia jina ganiAu mmeenda kuchukua picha zangu Facebook walahi 😂😁
🤣😂😁 Kaka bonge mimiUlijipost bhana una mashavu na lips za pink
Nyie ni waongo ka ephen kanadanganya ni ka bonge pia😁😁🤣😂😁 Kaka bonge mimi
Nadanganya au ndio ukweli,😉Nyie ni waongo ka ephen kanadanganya ni ka bonge pia😁😁
Vincenzo jrFacebook mnatumia jina gani
Sawa wewe ni bonge🥲Nadanganya au ndio ukweli,😉
Kesho utaona request ya 'fat.lady.juicey'Vincenzo jr
Ana ubonge ule wa uzuri mashallah ni mweupee mzuri sanaNadanganya au ndio ukweli,😉
Khekhekhe!!!😂😂😂😂😂Ana ubonge ule wa uzuri mashallah ni mweupee mzuri sana
Usiibe picha zangu 😂🤣😁Kesho utaona request ya 'fat.lady.juicey'
😎😎😎Una utu na utulivuKhekhekhe!!!😂😂😂😂😂
Usijali! Nitachukua moja niweke wallpaperUsiibe picha zangu 😂🤣😁
🤣😁Usijali! Nitachukua moja niweke wallpaper
Sio unaenda kukamua ng'ombe maziwa?Baadae naenda uwanjani hapa kupasha
Sina hao similikiSio unaenda kukamua ng'ombe maziwa?
Huyu fundii sana anaongea lugha zaidi ya 6 anajua sana yaani sana hapo dadju hapo alipigwa kwenye vesi ya 2Huyu si Anitta mchumba ake Vincenzo Jr ?🤔
Huyu kipindi anatoa hit song ephen_ alikuwa darasa la kwanza 😁🤣😁😁Mkuu ngoma zangu hizi.