JF Chat: All members chat

Hataree sana 😂😂😂
Ma gran pah z hawana baya Igweeeeeee
 
Woyeeee!! 😂😂😂
Mwenyewe na type huku mbavu zinauma.!!
Kipipa kapigwa na kitu kizito.!!

Alijua mzee wa mafuta Romeo ajifanye Julieth kumbe aah wapi.!!
Kula tyuuu kuoga aaahh 🤣
 
Hawana hiyanaaa kabisaaa!!! Igweeeeeee, igweeeeee!!
Nilijua tyuu magran hawezi kutulia na ubuyu km huu.!! 😂😂😂
Na wanavyonielewa mjukuu wao sasa!! Awww hii lazima ilikuwa nipewe kijiwe kidamshi.!! Kipipa unalooooo pyeeeeee.!!
Halafu kujifanya mtoto uache lione kwanza 🤣🤣🤣
 
Kula tyuuh, kutuliaa aaaaah
watu hawaogopiiiiiii???
Bibi kipipa kautaaaka 😂😂😂
Wamepita naye shwaaaah ✈️ km jet
Halafu kapotezewa 😎 mzee wa mafuta kavaa miwani y’a mbao haoni
 
uduguu umeanzaaa kumchambaa kipipa wetuu? Na umeambiwa ana stress kachoka afu kachoka tenaa.

Unataka kumuua kwa preshaaaa?

Watu weuweeeee!!! Ubuyuu tunao na tunatambaa naooo.

 
Kipipa yeye atajiju sio shida zetu 😂😂😂😂
Na kisukari kitampanda sana mwaka huu.!!
Unajua nilishangaa huyu mbona kawa kichaa sio kawaida hii kumbe tayari mzee wa mawese kampa kikono 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…