ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,261
Nashusha mistari inayoendana na gen ZKi vipi? ebu shusha mistari tuipime kama ina vigezo
Nashusha mistari inayoendana na gen ZKi vipi? ebu shusha mistari tuipime kama ina vigezo
Utanicheki kwenye lile chimbo kwa muda wako 😀Nashusha mistari inayoendana na gen Z
Mistari naitoa hapahapa! Tuma account namba kwanzaUtanicheki kwenye lile chimbo kwa muda wako 😀
haya ebu cheza![]()

Nakuona unavyokizungusha 😀
Nakuona unavyokizungusha 😀

Chukua mke huyo, muda huu angekuwa anakaangiza huko jikoni
Kataa ndoa 😁Chukua mke huyo, muda huu angekuwa anakaangiza huko jikoni
Tatizo umejifungia 😀
Unapanga namna ya kula nauli za wananzengo 😀
Nipe location nije!Tatizo umejifungia 😀
Njoo hapa 8.8, lakini usivae kizee 😀Nipe location nije!
Nitakula nauli za watu woootee ila sio ya Vincenzo Jr hachelewi kufungua uziUnapanga namna ya kula nauli za wananzengo 😀
Daah! Kwahiyo umeona mimi wa kuvaa kizee🤔Njoo hapa 8.8, lakini usivae kizee 😀
Mabaharia tuko hoi hapa 😀Nitakula nauli za watu woootee ila sio ya Vincenzo Jr hachelewi kufungua uzi
😂Wewe sema tu ni mpiga nyetoKataa ndoa 😁