Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,370
- 80,198
😁😂😂 Upo sahihiephen si yupo....
😁😂😂 Upo sahihiephen si yupo....
Kaenda kushika dollarmin -me upo wapi? Nimekumiss!🥹
Umeongea kingeereza mimi sijaelewa🙂yes! but you must be intelligent to understand it not as you do!
Leo unajisikia kuongea na mimihaitoshi ni kiingereza na sio kingeereza sawa mama...??
🚮haha! ningekuwa na namba yako ningeongea nawewe vipi kwani hapa naongea au nachat nawewe...?
Subiri mtafsiri wangu aje! Usinichosheseems to be simply isn't it honey...??
Wananitafsiriasawa, lakini unavunga hujui kiingereza mbona nyimbo nyingi mnazotumiana hapa ni za kiingereza...???
Mimi sijui kweli! Elimu ya kuunga nikaishia form 2🤣🤣
hapa umenipiga ephen!