JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

Nimetuma kwenye group la familia mapokeo yamekua makubwa sana nimeona kila mtu anapaswa kuanza ngazi ya familia itaenda kwa haraka mana ndugu tunawamudu vyema
Hakika kwenye magroup ya watsap unatuma moja wanasoma wote mpaka wakureftishe, mtu akikujibu tu wewe unaandika tu no Reforms no Election

wanawake na nyie mkaze huko vitandani No Reforms No utamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…