engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,149
- 1,441
inaonekani hukubali kushinda,umepewa ushindi jaribu kuupokea kwa mikono miwili,tuwasiliane mkuu ili niweze ku trace aina ya mawasiliano utumiayo na wapi ulipo,naweza kuja kukuona ,tu marafiki nitakulinda kwa kila kituSasa uliposema upo tayari kwa lolote ulikuwa na maana gani? ati thawabu kwa allah..u sound silly, hysterical and idiotic.
MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
maranyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia
MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
What about ushauri wangu wa kufuta post yako au kupunguza makali ya maneno yako for someone standing on peacefullness una preach violence..... Ni ushauri tu ndugu yanguinaonekani hukubali kushinda,umepewa ushindi jaribu kuupokea kwa mikono miwili,tuwasiliane mkuu ili niweze ku trace aina ya mawasiliano utumiayo na wapi ulipo,naweza kuja kukuona ,tu marafiki nitakulinda kwa kila kitu
mapinduziii daimaaaa
Mkuu mimi ninaloliona ambalo wengi mnaolalamika bado hamjaliona ni kwamba unapaswa ujue kuwa asilimia kubwa ya wana JF ni wakristo wenye hoja za nguvu na ndio maana ukileta mada ya dini tofauti unaona kama unashambuliwa. Ingekuwa kuna waislamu wengi hapa JF ungeona nao wangejitokeza zaidi kuchangia hoja na huenda kuongoza hoja. Hapo kwenye RED mkuu kunaonyesha ni jinsi gani unawza tofauti na mkiristo huwezi kuona mkristo atakayesema maneno kama hayo. Na hilo ndilo linaloleta shaka katika dini ya kiislamu. Haya mambo ya kufa kwa ajili ya Alah yanautata sana hilo fundisho la kuua wengine ni dhambi kubwa.
Mimi ushauri wangu ni kwamba ukiona unakerwa sana na hoja mbalimbali hapa JF ni bora ujitoe kuliko kufikia kujitoa roho au kutoa wengine roho. That's insane!!!
inaonekani hukubali kushinda,umepewa ushindi jaribu kuupokea kwa mikono miwili,tuwasiliane mkuu ili niweze ku trace aina ya mawasiliano utumiayo na wapi ulipo,naweza kuja kukuona ,tu marafiki nitakulinda kwa kila kitu
mapinduziii daimaaaa
What about ushauri wangu wa kufuta post yako au kupunguza makali ya maneno yako for someone standing on peacefullness una preach violence..... Ni ushauri tu ndugu yangu
hatufundishwi kushindwa,tunafundishwa kushinda,
Sitaki rafiki ambaye ni live grenade.
no inategemea,kwani kuna kipindi unaona kabisa kuwa hii ni haki yangu,lakini hutaki kunipatia kama inavyotakiwa iwe,siwezi rudi nyuma,kuna mambo nitarudi nyuma na kuna mambo sitorudi nyuma daimaDont you think this is impossible na italeka vurugu...... yaani tunakubalina tu pale nitakapokubaliana na hoja zako????
anaitwa Dsm amekuwa akishambuliwa sana pindi aletapo threads za namna hiii
sijui ni kwa nini?
no inategemea,kwani kuna kipindi unaona kabisa kuwa hii ni haki yangu,lakini hutaki kunipatia kama inavyotakiwa iwe,siwezi rudi nyuma,kuna mambo nitarudi nyuma na kuna mambo sitorudi nyuma daima
mapinduziiii daimaaaaa
nitaendana na jinsi wewe utakavyo
lets be friends usiogope
mapinduziiii daimaaaa
"An Eye For an Eye will Make the All World Go Blind"..... Nakubaliana na Ghandhi kwa hilo lakini hapa nakataa kidogo sababu Dar et al Post zao nyingi wana look for provocation hawaleti Hoja bali wanaleta comments ambazo kwa kweli wanastahili kila wanachokipata.....
MKUU
Jf ina wenyewe bana,
ulichokisema ni kweli kabisa na tatizo lililopo ni kuwa Jf imejaa watu wasiokubali kushaurika na kutambuwa michango ya watu wengine
mara nyingi nimekuwa nikikemea swala la udini na uchama ndani ya JF matokeo yake niliambulia matusi kwa baadhi ya wana jf na niliomba msamaha ili kuwaridhisha wenye JF YAO
mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO
msema ukweliii hapendwiiii daimaaaa
nyie wenye jf namba zangu ni 15202425864,skype acc(ibrahim.mtolera),nipo tayari kwa chochote kile ktk hii dunia
MAPINDUZIIII DAIMAAAAAAAAAA :bump::bump:
Kusema JF ina wenyewe, hizi ni inferiority complex, JF ni Jamvi la JAMII yote yenye uzalendo na kuumwa na umasikini wa wanadamu na kukerwa na waonevu ya dunia hii! Bila kujali dini, itikadi za kichama, jinsia, rangi, kabila, taifa, wala ubaguzi wa aina yeyote ile! Tabu inakuja pale mtu anapotanguliza aina fulani ya upendeleo kwa namna fulani ili kushambilia kundi jingine kwa vigezo vya kutetea ubaguzi wake, hapo ndipo anapo kutana na mabango ya wanaJF kisha anaanza kulalamika!
Statement zingine mtu akizisema na kujipambanua YEYE MWENYEWE kuwa "mimi nasema MSITUAMSHE TULIOLALA TUKIAMKA,HATUONI TAABU KUFA KWA AJILI YA KUPATA DHAWABU KWA ALAH,TUNAWEZA NA UWEZO TUNAO" Great Thinkers wanajuwa moja kwa moja huyu aliyesema hivi ni mtu wa namna gani, itikadi yake ni ipi, dini yake ni ipi, msimamo wake na uelewa wake ni upi katika masuala mbalimbali, hana haja ya kujitambulisha kwa namba, jina lake halisi wala mawasiliano yake! Siyo kwamba Great Thinkers ni wana psychology wazuri-hapana-there are THINKING BROADLY!
Na kama statement hiyo ingetamkwa na mtu mmoja kuwambia waislamu misimamo yao kwa "makafri" (watu wasio waislamu), nadhani na waislamu wangekuja juu na kumtangazia "Fatwa" mtu huyo!
Namwabia Alhadji Hon. Eng. Mtotela wapende hata adui zako, na waombee kwa Allah ili awageuze mioyo yao imuelekee yeye na awafanye upendavyo wewe! Usijitoe muhanga kwani MUNGU ndo mweza wa yote, ila kama Allah HAWEZI na HANA UWEZO wa kutumia uwezo wake mkuu, kukabadilisha mawazo kamtu kadogo kwa kwenye JF, basi msaidie maana yeye atakuwa ameshindwa na ukifika huko-utapata hiyo thawabu ikiwemo mademu wenye macho kama vikombe!
MUACHENI MUNGU MWENYE UWEZO MKUU, SIYE SHINDWA NA CHOCHOTE AFANYE KAZI YAKE YA KUHUKUMU KILA MTU KULINGANA NA MATENDO YAKE, SIYO KUMSAIDIA