Mfano kama mimi
Nikikutana mada au posti ya mtu ya uzushi na uzwazwa...
Huwa sicheleweshi, ni anakula za uso kwa lugha mbovu kwa kwenda mbele...
Na akileta matusi kujihami, kwangu ndio amefika , atatafuta pa kutokea, hata kama ban itanihusu.....
Mimi humu kila mwanaJF ni kichwapumbu until proven otherwise.....