Jana niliongea na Mwita Maranya. Kimsingi tumeeelewana kuwa safari ya siku 1 ni fupi sana. Ingawaje inawezekana Mwita Maranya hatokuwepo, lakini ameshauri uwe na angalao siku 2. Tarangire au manyara. Then one of the day tukae tukiongea na kufahamiana. Mimi binafsi nakubaliana naye. Tunahitaji kufahamiana na kujuwana. Tofauti zetu za kisiasa na kimtizamo hazina nafasi kwa sasa. Kuna watu kama malaria Sugu humu ni mmoja wa jamii yetu! Tumtupe! Jibu ni HAPANA. ni wakati sasa tukakaa na kujuawana na kuelimishana. Sidhani kila jamii huwa na wazo moja. Kila familia huwa na watu wenye wazo tofauti na hapo jamii husika hulifanyia kazi wazo hilo. Ni wajibu wa kila mwanajamii forum mwenye nafasi siku husika kujumuika nasi pamoja. Idumu Jamii forum.
Kwa wale wlioko Moshi, naomba wani pm tujuane na ikiwezekana tujiandae kwa safari ya tarehe hiyo. Tupeane ushirikiani kwa hili.
Nawasilisha
Preta, Wiselady, Derimto, Crashwise, Pelosi, Fimbo ya Mnyonge, Lilyflower, Mzee wa Rula, HMethod, Chpukizi(all the way from U.S.A),naomba mniambie kama mlifika salama jana, maana ile ilikuwa baaaaab kubwa...hii inatia moyo sana.....kwa taarifa tu kidogo ni kwamba saa hii ndio tumeachana....tulikuwa na kikao kitamu mnoooooo......kwa kweli mimi binafsi sikutaka kiishe....lakini kutokana na majukumu imebidi.....ila big up sana kwa wote walioshiriki....na hata ambao hamkuwepo tuliwawakilisha........JF NI ZAIDI YA KEYBOARD.....luv you all
Good Job PJ &Co.Pia hii ni taarifa kwa umma wa JF, hasa kwa walioko mbali na hapa lakini wanatarajia kushiriki, kwamba mipango inasukwa ya ukweli na uhakika juu ya safari yetu, na hadi sasa tumefikia mahali ambapo karibia kila kitu kimeshawekwa sawa..
Preta, Wiselady, Derimto, Crashwise, Pelosi, Fimbo ya Mnyonge, Lilyflower, Mzee wa Rula, HMethod, Chpukizi(all the way from U.S.A),naomba mniambie kama mlifika salama jana, maana ile ilikuwa baaaaab kubwa...
Thanx you guys so much for all the enjoyable moments that we shared...Nimewakubali A-Town kuna vichwa!...
Mkuu DERIMTO..PJ.sasa nimeelewa kwa nini baadhi ya wana jamvi huamua kabisa hata kuoana maana nimeiona familia tamu sana na sikutamani kuiacha ETI KAMA HI HIVI SI KUWE NA KIKAO KILA SIKU JIONI!!!!!!!!!
Hope she is not WL!!! teh teh teh!!Mkuu DERIMTO..
Jana ulipata kamoja ka ukweli nini pale?..
Tuambie bana ili tuungamishe vikao palepale!..😛arty:
Mkuu DERIMTO..
Jana ulipata kamoja ka ukweli nini pale?..
Tuambie bana ili tuungamishe vikao palepale!..😛arty:
Yaani ningelijua mapema juu ya hii safari nisingelienda kijijini kula X-Mas......................sasa sina la kufanya..............poor me............
Ooohh..UUUUWIIII natamani kuwepo ndani ya jiji tarehe hiyo, kwetu ni pale shiri matunda, lakini huku nilipo bado viwanja vya ndege vimefungwa sababu ya barafu, sidhani kama wanaweza kufungua kabla ya muda huo, lakini hata kama sitakuwa na nyie kimwili nitakuwa na njie kiroho, "i wish you all the best"
Hapo kwenye nyekundu unanitafuta bifu...lolTulivyondelea na Wiselady ni siri yetu ila ni hot, Preta nachanganyikiwa, Liliflowers tumeotana nadhani lunch ntakuwa naye, Pelosi kaniganda akilini. Nisaidieni kurusha shilingi jamani!!!!!!!
Mkuu, kumbe ndo ule mbadilishano wa namba za simu uliochukua muda mwingi wa Mwenyekiti na kurefusha kikao...OOOhhh Goshhhhh!:hungry:!Tulivyondelea na Wiselady ni siri yetu ila ni hot, Preta nachanganyikiwa, Liliflowers tumeotana nadhani lunch ntakuwa naye, Pelosi kaniganda akilini. Nisaidieni kurusha shilingi jamani!!!!!!!
Mkuu, pole sana, maana uko mbali...Ndio shida yenu watu wa kabila la akina Ndeshikurwa na Ndesario kuwaacha akina nanihiino wao huku mkoa!...Mi sitaki kugombanisha watu bana...Lakini una shing' ngapi nikupe siri kwa PM?!Hope she is not WL!!! teh teh teh!!
Mkuu, kumbe ndo ule mbadilishano wa namba za simu uliochukua muda mwingi wa Mwenyekiti na kurefusha kikao...OOOhhh Goshhhhh!:hungry:!
Sasa Mkuu utafanza fanza vipi maana unaonyesha hujiwezi kwa wote hao wa4?...
Ushinde moyo bana...komaa na yule yule aliyekuwa anakunywesha ile Martins!
Mlitufurahisha sana mkuu!..lol!
Tulivyondelea na Wiselady ni siri yetu ila ni hot, Preta nachanganyikiwa, Liliflowers tumeotana nadhani lunch ntakuwa naye, Pelosi kaniganda akilini. Nisaidieni kurusha shilingi jamani!!!!!!!
Hapo kwenye nyekundu unanitafuta bifu...lol
Hahaha Mkuu naona hapo juu hii ni sababu nyingine itakayonifanya nisikose hii trip ili kulinda mali zangu! Naona Crashwise na Derimto wameanza kutoana ngeu! :whoo:Mkuu, pole sana, maana uko mbali...Ndio shida yenu watu wa kabila la akina Ndeshikurwa na Ndesario kuwaacha akina nanihiino wao huku mkoa!...Mi sitaki kugombanisha watu bana...Lakini una shing' ngapi nikupe siri kwa PM?!
Nakushauri broda kweli kabisa uwepo...Kwa kutizama mazingira, nakutabiria shida kwenye uchumba wenu na WL, maana alikuwa anamnywesha Martins Derimto, huku akipewa airtime na Crashwise...!Hahaha Mkuu naona hapo juu hii ni sababu nyingine itakayonifanya nisikose hii trip ili kulinda mali zangu! Naona Crashwise na Derimto wameanza kutoana ngeu! :whoo: