JF Arusha Wing: Ahsanteni sana...,


Ahsante mkuu, naamini na nnajua for sure JF woote mnanipenda. Kwani mlikuwa nami kunipigia simu na hata kunitext kunipa maneno ya kutia faraja na matumaini.
I love you all, all of you ALL
 
Wakikupenda ndiyo walale Korogwe? hatukuwatuma kulala Korogwe, ilikuwa waende halafu warudi Arusha siku hiyo hiyo.

Copy: Arushaone, Filipo

Ukarimu walioukuta ulizishinda nguvu zao za kuondokaa siku hiyo hiyo ......lols
 

Tunashukuru kwa nasaha zako. Tupo Arusha, utadhani tunatoka tumbo moja/ au kama wote ni uzao mmoja toka mimi mzee wenu kwa upendo ulivyo mkubwa.
 
Tunashukuru kwa nasaha zako. Tupo Arusha, utadhani tunatoka tumbo moja/ au kama wote ni uzao mmoja toka mimi mzee wenu kwa upendo ulivyo mkubwa.


Mie natia timu kesho kutwa....Ijumaa hakuna kulala haki ya nani....

Mbona mwenyekiti yuko kimya??

cc: PakaJimmy, Mzee wa Rula, Filipo...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…