mbona Founder alishalimaliza hili jambo siku ile........au ulikuwa unakunywa nini chenye kuziba masikio?.......hili swala mbona hata Teamo alilikubali..... (maana hata yeye alikuwa anajua ni Dar)
watu wa branch ya Dar ni wabishi, kwa nini msiwe kama wenzenu wa branch za Mwanza, Mbeya n.k .......haya tunawaazima u-HQ kwa mwezi mmoja.........mmefurahi?
Nadhani utakuwa umebadilisha mlima, si mlima meru tena
Maana inaonekana this time umepanda mlima mrefu sana kiasi kwamba unatumia muda mwingi kushuka thatz why umekuwa adimu kwenye forum.
Sasa kwa nini usiniambie sasahivi? Sun iko mbali sana na huwezi kujua hadi inafika siku hiyo mambo mengi yanaweza kuwa yametokea, plz just tell me now!
Kama gamba gumu King maker RA limeng'oka itakuwa kericho?? aah wapi we subiri tu nimnong'oneze shemeji yako utashangaa mwenyewe utakavyoiona kericho inanuka uvundo, hadi hutamani kuisikia achilia mbali kuikumbuka!!