Hivi dogo mbona hauna heshima kwenye sehemu anapopumzikia kaka yako? Mj1 wala hajakusikia mimi na yeye daima dumu kama cuf na magambaSahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!
Hivi dogo mbona hauna heshima kwenye sehemu anapopumzikia kaka yako? Mj1 wala hajakusikia mimi na yeye daima dumu kama cuf na magamba
Tangu mejua tembea na muguu ansia Moshona mpaka kisongo na sijali hata kama meleta mgao wa mwesi tasidisha masereu mesikia Nditto?hivi Derimto........ulianza lini mazereu?
hivi kunakuwaga na HQ mbili?........nimeuliza tu
Tangu mejua tembea na muguu ansia Moshona mpaka kisongo na sijali hata kama meleta mgao wa mwesi tasidisha masereu mesikia Nditto?
Tutamuomba Founder atueleze mchakato wake aliuanzia wapi.
mbona Founder alishalimaliza hili jambo siku ile........au ulikuwa unakunywa nini chenye kuziba masikio?.......hili swala mbona hata Teamo alilikubali..... (maana hata yeye alikuwa anajua ni Dar)
Sahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!
Hivi Lily Flower yuko wapi halafu Paka Jimmy huyu bwana acha tu ngoja nicheke kimya kimya maana kuna kitu alinisaidia nikikumbuka nacheka sana
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
@ nimekuwa murebo saidi ya wakaka wa Kericho na siku nyingi natangaza nia ya kuwania jimbo la yaeda chini tuone kama fimbo ya mbali inaua nyoka!sijajua lakini.......umekuja kuwaje?
Tata umemariza majipu yote hapa chuu yaani mura wampie hawa chamaa wafunike ki podi sao wasiurise tena maswari ya kichinga kama wanamakambaMajibu yake ndo haya hapa, nadhani haitaji kuja dar, mambo yote iko arusha!!
Bado mnadiskasi habari ya mchungaji na wanakondoo?
Mi namsubiri ODM nimkabidhishe kwa watumishi.
@ nimekuwa murebo saidi ya wakaka wa Kericho na siku nyingi natangaza nia ya kuwania jimbo la yaeda chini tuone kama fimbo ya mbali inaua nyoka!
Bado mnadiskasi habari ya mchungaji na wanakondoo?
Mi namsubiri ODM nimkabidhishe kwa watumishi.
Ahh! Wapi!? Preta ameshagundua kuwa alikuwa anatumia gharama za bure kufuata kitu ambacho hakina quality ya kisasa lakini sasa ameipata ya uhakika na mwisho wa hiyo barabara yake ni ngaramtoni tu hasogei tena pande zile mpaka niseme sasa nikiwa busy anasema nina masereu. Ooh matu moki doi!Hivi Preta bado unaenda kericho?? mimi nilidhani tumekubaliana shemeji atamaliza kazi!!
Nipo kiongozi!Habari yake binafsi bana,Mkuu umejichimbia wapi??
Bwana shemeji, karibu makao makuu!!!!Hilo nalijua, kina thomaso wanataka kutia vidole vyao kwenye makovu, ndiyo hao kina the finest.
Ahh! Wapi!? Preta ameshagundua kuwa alikuwa anatumia gharama za bure kufuata kitu ambacho hakina quality ya kisasa lakini sasa ameipata ya uhakika na mwisho wa hiyo barabara yake ni ngaramtoni tu hasogei tena pande zile mpaka niseme sasa nikiwa busy anasema nina masereu. Ooh matu moki doi!
Ahh! Wapi!? Preta ameshagundua kuwa alikuwa anatumia gharama za bure kufuata kitu ambacho hakina quality ya kisasa lakini sasa ameipata ya uhakika na mwisho wa hiyo barabara yake ni ngaramtoni tu hasogei tena pande zile mpaka niseme sasa nikiwa busy anasema nina masereu. Ooh matu moki doi!
Preta Biggy kajibu swali lako hapa chini natumaini unajua na yeye yuko wapi, halfu siku ile si tulikubaliana kuwa Arusha ni branch ya HQ Darhivi kunakuwaga na HQ mbili?........nimeuliza tu
Bwana shemeji, karibu makao makuu!!!!