Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Feb 9, 2013 #1 Natumia hii app in i phone .. Kila saa ins staki. Ni mimi tu ama?
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Feb 9, 2013 #2 hebu angalia labda umeingia kwa Jf-desktop
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Feb 9, 2013 Thread starter #3 Mungi said: hebu angalia labda umeingia kwa Jf-desktop Click to expand... Nimeidownload moja kwa moja from i tunes store.. Hii app inahitaji modification kubwa sana na wanajua sana
Mungi said: hebu angalia labda umeingia kwa Jf-desktop Click to expand... Nimeidownload moja kwa moja from i tunes store.. Hii app inahitaji modification kubwa sana na wanajua sana
The Tan-talizer Senior Member Joined Mar 28, 2012 Posts 163 Reaction score 67 Feb 9, 2013 #4 Hata kwangu pia natumia iPhone 5, mbali na kwamba haijai full screen ila sehemu pia ya ku 'ENTER' ni ndogo mno kuibonyeza hivyo kuifungua wafanya kukisia tuu!! Wataalamu wa hili mtufanyie fair na sisi pia...!! Nawasilisha
Hata kwangu pia natumia iPhone 5, mbali na kwamba haijai full screen ila sehemu pia ya ku 'ENTER' ni ndogo mno kuibonyeza hivyo kuifungua wafanya kukisia tuu!! Wataalamu wa hili mtufanyie fair na sisi pia...!! Nawasilisha
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Feb 9, 2013 #5 kaka ivuga ungekomentia kule itunes store ingekuwa mzuka zaidi kwani watajua kiurahisi..