jf application for i tunes!!!!!!

jf application for i tunes!!!!!!

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,024
Reaction score
59,684
Natumia hii app in i phone .. Kila saa ins staki. Ni mimi tu ama?
 
hebu angalia labda umeingia kwa Jf-desktop
 
Hata kwangu pia natumia iPhone 5, mbali na kwamba haijai full screen ila sehemu pia ya ku 'ENTER' ni ndogo mno kuibonyeza hivyo kuifungua wafanya kukisia tuu!! Wataalamu wa hili mtufanyie fair na sisi pia...!! Nawasilisha
 
kaka ivuga ungekomentia kule itunes store ingekuwa mzuka zaidi kwani watajua kiurahisi..
 
Back
Top Bottom