YouTube app inasumbua sijuwi tatizo.Naomba msaada

YouTube app inasumbua sijuwi tatizo.Naomba msaada

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,251
Reaction score
2,131
Habari.

Ni muda Sasa tangu YouTube app Katika Simu yangu ianze kusumbua.Nimehangaika kufanya kila utundu wangu wote kwenye Simu ila nimechemsha.
Nimelileta kwenu please naomba msaada wenu
IMG_4667.JPG

Kama inavyoonesha hapo data connection ipo vizuri ila haiwezi kufunguka,lakini nikitumia UC browser au Chrome inakubali.

Natumia iPhone 7 plus.
 
Habari.

Ni muda Sasa tangu YouTube app Katika Simu yangu ianze kusumbua.Nimehangaika kufanya kila utundu wangu wote kwenye Simu ila nimechemsha.
Nimelileta kwenu please naomba msaada wenuView attachment 1156285
Kama inavyoonesha hapo data connection ipo vizuri ila haiwezi kufunguka,lakini nikitumia UC browser au Chrome inakubali.

Natumia iPhone 7 plus.
Angalia setting za internet kwenye Apn, baadhi ya mitandao wanatumia setting za wap/web ambazo Zina proxy ndani yake hivyo kushindwa kufungua baadhi ya apps Kama YouTube, hali ya kuwa browser inafunguka vizuri.

Apn unatakiwa iwe ni internet. Hope unajua kuitengeneza.

Pia angalia Kama app yako ipo up to date.
 
Anza kwa kufungia ile ya sisiemu itakubali anzia hapo
 
Back
Top Bottom