JF Android and iOS app - Feb 2018 update

Tunao tumia opera jf inatusumbua sana kwenye ku comment au kuanzisha mada

ukitoa comment inaweza kuonekana mara tatu au isionekane kabisa
 
Kwa huu msimamo hata mimi naunga mkono aslimia mia, jf ni kama maktaba.....

Ndio maana nyuzi za 2006 mpaka leo zinatumika kama rejea, siku mkiuvunja huu utaratibu mjue Jf itakua sehemu ya mizaha na upuuzi mwingi.
 
Safi sana
 
Me naomba muweke na kitufe cha DISLIKE

Sio kila Comments inastahili Like,
Hiyo binafsi naona kama ni mbaya, itakatisha tamaa na kujenga makundi hasa kwenye jukwaa la siasa.

Maana wakati mwingine like watu wanapeana sio kwa sababu ya mchango bora ila kwa sababu wanamrengo unaoendana.

Kwa hiyo usishangae hata hoja za msingi zikapewa dislike kwa sababu tu mtoa hoja mnapishana itikadi ama misimamo kuhusu mambo mbalimbali.

Hali hii itawakatisha tamaa watu wenye hoja za msingi na hatimaye kubaki na mazwazwa tu yanayopeana like kwa kufurahishana.
 
Kweli.
 
App ipo poa kabisa, pia ninaomba mufikirie hili swala lakubadilisha ID mngeruhusu ID ibadilishike angalau mara moja kwa miezi mitatu.
Ukiona id Umeichoka iache fungua mpya sio muanze kutuchezea akili.
 
Ni hatua njema ya maboresho ila inaonekana kama ya kwenye "Tapatalk" tu

Muwe na maboresho ya mara kwa mara ambayo wadau wengi wanayasemea kama kuna ulazima wa kufanya hivyo
 
nitaleta maoni yangu badae kidogo nitakapokuwa nimepatia mabadiliko vzr hatua kwa hatua...
ila niwapongeze kwa namana mnavyoziona changamoto na kuwa wa haraka kuzishigulikia...

Mungu aendelee kuwajaza maarifa.
 
Ni hatua njema ya maboresho ila inaonekana kama ya kwenye "Tapatalk" tu

Muwe na maboresho ya mara kwa mara ambayo wadau wengi wanayasemea kama kuna ulazima wa kufanya hivyo
Tayari wameshairejesha Play store?
 
Nimechange handset sasa kila nikiingia playstore kutafuta jf app nashindwa kuipata naomba msaada ni simu yangu au jina la jf app limebadirishwa
 
Maxence Melo pia app hii ya android sio rafiki sana, mf ulikuwa unasoma uzi, kabla hujamaliza sms ikaingia au ukuhamia kwenye app nyingine hata kwa sekunde 30 tu ukirudi jf itaanza kuload upya badala ya kuanzia ulipoishia, kwenye mpya fanyeni maboresho hayo na emoji nzuri kama za jf yazamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…