Jf 2012 graduation

naona kipindi cha kuchukua degree zetu kimewadia na mi mwaka huu ndio nachukua yangu so tunao graduate pamoja jitokezeni tuchukue zawadi na hongera zetu

ufanye ununue bahasha za kaki kabla ya tusenti twa boom hakajakata choote.....mzima lakini
 
degree kwenye unversity ya jf au kivip, kama vile hujaeleweka..
 
ufanye ununue bahasha za kaki kabla ya tusenti twa boom hakajakata choote.....mzima lakini

bro kazi ilikuwa inanisubiria. hivi hamna wengine wanaomaliza humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…