DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
- Thread starter
- #21
Basi siyo takwa la kisheria la CAF maana kuna nchi nyingine hazijaweka na point ya msingi ni utofauti wa sehemu za nyota za ubingwa zilipowekwa na pale ambapo nimeshauri TFF waweke......